Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni aibu Serikali kuitwa ‘mdaiwa sugu’

Habari kwamba Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imeamua kuwatimua baadhi ya wapangaji wa nyumba zake zilizopo mjini Dodoma ambao ni wadaiwa sugu, wakiwamo mawaziri saba na wabunge 15 zitakuwa zimesababisha fadhaa kubwa kwa mihimili hiyo ya dola. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ni aibu Dar kuwa sugu kwa kipindupindu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Paul Makonda aliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari akizungumzia kulipuka kwa ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya yake, baada ya kutokea vifo vitatu na idadi ya wagonjwa kuongezeka hadi 34.

 

10 years ago

Dewji Blog

Polisi Arusha wakodishwa kuvunja mikono ya mdaiwa

IMAG2765

Mkazi wa Loksale, Samweli Shani (47), akiwa amefungwa POP baada ya kuvunjwa mikono yake na polisi, kushoto ni ndugu yake Gabriel Shani akionyesha picha za X-ray alizopigwa zikionyesha jinsi mikono ilivyovunika.

Kamanda wa polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, amekiri kupokea malalamiko ya mkazi mmoja wa Loksale wilaya ya Monduli, Samwel Petro Shani (47) ya kuvunjwa mikono yake miwili kutokana na kipigo cha askari Polisi wa kituo cha Leskale.

Hata hivyo amesema kwamba kwa sasa yupo likizo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu aibana serikali waliounguliwa Mwanjelwa

MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (CHADEMA) ameibana serikali na kuitaka ieleze kama ipo tayari kuwapa kipaumbele wafanyabiashara ambao waliunguliwa mali zao wakati wa kuteketea kwa soko la Mwanjelwa lililopo...

 

10 years ago

Mwananchi

Dawasco: Tumeikabidhi Serikali wadaiwa Sugu

Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasco), imekabidhi kwa Wizara ya Maji wadaiwa sugu 12 wa huduma ya maji kwa ajili ya kuchukuliwa hatua.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali Kenya yaifutia aibu Cecafa

Serikali ya Kenya imeifutia aibu mbaya Cecafa kwenye michuano ya Chalenji baada ya kuingilia kati na kuahidi kulipa bili zote za hoteli kwa timu shiriki na usafiri

 

10 years ago

Habarileo

Serikali, Apollo kuanzisha hospitali ya magonjwa sugu

Rais Jakaya Kikwete.SERIKALI kwa kushirikiana na Hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa India.

 

11 years ago

CloudsFM

SUGU AITAKA SERIKALI KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO

Kinachoendelea bungeni mjini Dodoma, baada ya bajeti kusomwa wiki iliy opita, sasa hivi ni wakati wa wabunge kuchangia mawazo na mitazamo yao kwenye bajeti hii ya mwaka wa fedha 2014/2015,, mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, hivi karibuni aliishauri serikali kuwasaidia wafanyabiashara wadogo wadogo ili kuweza kunyanyua uchumi wao na taifa kwa ujumla.

 

9 years ago

Mwananchi

Sugu kuibana Serikali inunue kipimo cha CT-Scan

Mgombea ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kama akichaguliwa kuwa mbunge atapigana kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya Mbeya inapata kipimo cha  CT-Scan ili kuwahudumia wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu: Serikali iondoe kodi vifaa tiba mbadala

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema kuna haja kwa Serikali kungalia namna ya kuondoa ushuru katika vifaa vinavyoingia nchini kwa ajili ya masuala ya tiba mbadala, kwani wanaonufaika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani