Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sugu kuibana Serikali inunue kipimo cha CT-Scan

Mgombea ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kama akichaguliwa kuwa mbunge atapigana kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya Mbeya inapata kipimo cha  CT-Scan ili kuwahudumia wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mbatia aishangaa serikali kukosa kipimo cha Ebola

Balozi wa Majanga Afrika, James Mbatia,(pichani) amesema Serikali‘inajifedhehesha kwa kushindwa kuisaidia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kutokana na kutokuwa mtambo wake wa kuchunguza sampuli za damu za wagonjwa wakiwamo wanaohisiwa kuwa na virusi vya Ebola kutegemea vipimo vya Kenya.

Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, alisema kwa Wizara ya Afya kukiri kwamba vipimo hivyo huchukuliwa na kupelekwa Nairobi kwa ajili ya uchunguzi zaidi ni fedheha kwa taifa ambalo...

 

10 years ago

Mtanzania

Maaskofu wazidi kuibana Serikali

Aakofu NgalalekumtwaASKOFU ALEX MALASUSANa Esther Mbusi Dar es Salaam na Fredy Azzah, Dodoma

JUKWAA la Wakristo Tanzania (TCF), limeendelea kushikilia msimamo wake wa kuwashinikiza waumini kuipigia kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa.
Limesema Katiba Inayopendekezwa imefika hapo ilipo kwa njia ya ubabe na kukosa uadilifu. Tamko la umoja huo lililotolewa jana na kusainiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk. Alex Malasusa, Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Tarcisius...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Masasi, ataka CCM iendelee kuibana serikali juu ya wafujaji wa fedha za umma

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ufyatuaji matofali kwa kutumia mashine ya kujengea ofisi ya CCM Wilaya ya Masasi, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Kinana akilakiwa katika Kijiji cha Mwena-Ndanda alipoanza ziara katika Wilaya ya Masasi, mkoani...

 

11 years ago

Mtanzania

Tanzania haina kipimo cha Ebola

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid

Aziza Masoud na Geofrey Jacka, Dar es Salaam

SERIKALI imesema haina vipimo vya kutambua ugonjwa wa Ebola.

Kutokana na hali hiyo imesema ikiwa atatokea mgonjwa mwenye virusi vya ugonjwa huo watalazimika kupeleka damu ya mgonjwa jijini Nairobi nchini Kenya ambako kuna maabara inayoweza kutambua virusi hivyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alisema kutokana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili

“Laiti ningekuwa na moyo wa kukata tamaa, nisingefika hapa nilipo. Siyo hivyo tu, bali pia ingekuwa vigumu watu wengine kufaidika na ujuzi wangu,” anasema Elika Mwamengo (33) alipoongea na Mwananchi kuhusu mafanikio yake kimaisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Kipimo cha uongozi si kuifunga Simba au Yanga

Wapo watu ambao huwezi kuwabadilisha akili katika Simba na Yanga hasa kwa kile wanachokiamini.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania yaanguka kipimo cha uwazi wa bajeti 2015

Tanzania imeshindwa kuongeza kiwango cha upatikanaji wa taarifa za bajeti yake ya Taifa kwa wananchi na kuwa nyuma ya Kenya na Uganda, imefahamika.

 

10 years ago

Mwananchi

Kipimo cha uongozi siyo kuifunga Simba au Yanga

Wapo watu ambao huwezi kuwabadilisha akili katika Simba na Yanga hasa kwa kile wanachokiamini.

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi: Shooting siyo kipimo cha kuikabili Al Ahly

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi amewatahadharisha wachezaji wenzake wasihadaike na ushindi wa mabao 7-0 walioupata dhidi ya Ruvu Shooting na kudhani ni kipimo tosha kwa Al Ahly.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani