Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbatia aishangaa serikali kukosa kipimo cha Ebola

Balozi wa Majanga Afrika, James Mbatia,(pichani) amesema Serikali‘inajifedhehesha kwa kushindwa kuisaidia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kutokana na kutokuwa mtambo wake wa kuchunguza sampuli za damu za wagonjwa wakiwamo wanaohisiwa kuwa na virusi vya Ebola kutegemea vipimo vya Kenya.

Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, alisema kwa Wizara ya Afya kukiri kwamba vipimo hivyo huchukuliwa na kupelekwa Nairobi kwa ajili ya uchunguzi zaidi ni fedheha kwa taifa ambalo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Tanzania haina kipimo cha Ebola

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid

Aziza Masoud na Geofrey Jacka, Dar es Salaam

SERIKALI imesema haina vipimo vya kutambua ugonjwa wa Ebola.

Kutokana na hali hiyo imesema ikiwa atatokea mgonjwa mwenye virusi vya ugonjwa huo watalazimika kupeleka damu ya mgonjwa jijini Nairobi nchini Kenya ambako kuna maabara inayoweza kutambua virusi hivyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alisema kutokana na...

 

9 years ago

Mwananchi

Sugu kuibana Serikali inunue kipimo cha CT-Scan

Mgombea ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kama akichaguliwa kuwa mbunge atapigana kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya Mbeya inapata kipimo cha  CT-Scan ili kuwahudumia wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aishangaa Serikali

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Filbert Bayi aishangaa Serikali

Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi amesema ripoti ya timu za Tanzania zilizoshiriki michezo ya Jumuiya ya Madola imekwama baada ya Serikali kutaka wanamichezo wote waliokwenda Scotland kuhusishwa wakati itakapowasilishwa kwao.

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond aishangaa Serikali kwa kutowathamini wasanii

Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Platnum, ameeleza kushangazwa kwake na ukimya wa Serikali akisema unaashiria kutotambua tuzo ya kimataifa aliyoipata hivi karibuni kupitia MTV.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE JAMESN MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi ,James Mbatia akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya ghalani katika mji mdogo wa Himo jimbo a Vunjo alipokuwa akiwashukuru wakazi wa jimbo hilo kwa kukipa ushindi chama chake katika uchaguzi wa serikali za Mitaa ulimalizika hivi karibuni.Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika jimbo la Vunjo,wakati wa mkutano wa hadhara ulioitishwa na Chama cha NCCR-Mageuzi kwa lengo la kuwashukuru...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE JAMES MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

MBUNGE WA CHADEMA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI ASHIRIKIMbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akiwasili katika mkutano huo.Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ,Ndolakindo Kessy akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ghalani ,mji mdogo wa Himo ,mkutano uliokuwa na lengo la kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Vunjo kukipa chama hicho viti vingi katika uchaguzi wa serikali za Mitaa,vijiji na Vitongoji.Mh Nassari na Mh Mbatia wakitoa salamu kwa mamia...

 

11 years ago

Mwananchi

Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili

“Laiti ningekuwa na moyo wa kukata tamaa, nisingefika hapa nilipo. Siyo hivyo tu, bali pia ingekuwa vigumu watu wengine kufaidika na ujuzi wangu,” anasema Elika Mwamengo (33) alipoongea na Mwananchi kuhusu mafanikio yake kimaisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Kipimo cha uongozi si kuifunga Simba au Yanga

Wapo watu ambao huwezi kuwabadilisha akili katika Simba na Yanga hasa kwa kile wanachokiamini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani