Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond aishangaa Serikali kwa kutowathamini wasanii

Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Platnum, ameeleza kushangazwa kwake na ukimya wa Serikali akisema unaashiria kutotambua tuzo ya kimataifa aliyoipata hivi karibuni kupitia MTV.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Filbert Bayi aishangaa Serikali

Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi amesema ripoti ya timu za Tanzania zilizoshiriki michezo ya Jumuiya ya Madola imekwama baada ya Serikali kutaka wanamichezo wote waliokwenda Scotland kuhusishwa wakati itakapowasilishwa kwao.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aishangaa Serikali

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbatia aishangaa serikali kukosa kipimo cha Ebola

Balozi wa Majanga Afrika, James Mbatia,(pichani) amesema Serikali‘inajifedhehesha kwa kushindwa kuisaidia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kutokana na kutokuwa mtambo wake wa kuchunguza sampuli za damu za wagonjwa wakiwamo wanaohisiwa kuwa na virusi vya Ebola kutegemea vipimo vya Kenya.

Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, alisema kwa Wizara ya Afya kukiri kwamba vipimo hivyo huchukuliwa na kupelekwa Nairobi kwa ajili ya uchunguzi zaidi ni fedheha kwa taifa ambalo...

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND MPAKA SASA AONGOZA KURA ZA BET KWA KUNDI LA WASANII WA AFRIKA

Msanii Nasibu Abdul alias 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni alikuwa anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 75.79 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.34. na wengine kama jedwali linavyoonesha hapo chini. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani.   KUMPIGIA KURA DIAMOND , BOFYA HAPA Kisha telemka chini hadi utapokuta "BEST INTERNATIONAL ACT:...

 

10 years ago

GPL

LA VEDA: IDRIS, FEZZA KESSY NA DIAMOND WAMETOA GUNDU KWA WASANII WA BONGO

La Veda baada ya kuwasili jijini Dar akitokea nchini Afrika Kusini alipokwenda kushiriki fainali za BBA.…

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Yasisitiza Kutoa Ushirikiano kwa Wasanii


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimpongeza Msanii wa Filamu Bw. Ezekiel Mwakipageme maarufu kama Soudblack (wa kwanza kushoto) anayefanya kazi za filamu nchini China kwa mpango wake wa kushirikiana na wasanii wenzake watanzania katika kukuza tasnia ya filamu nchini wakati msanii huyo alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimsikiliza Msanii...

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi: Wananchi elekezeni nguvu zenu kwa wasanii wengine pia, si Diamond tu!

Rapper Nikki Mbishi ameibuka na kudai kuwataka mashabiki wa muziki wa Tanzania kuwaunga mkono wasanii wengine pia na sio Diamond au wasanii wengine wachache wanaopewa kipaumbele zaidi. Akizungumza kwenye kipindi cha Genge cha EFM leo, Nikki Mbishi alisema wasanii wote wanahitaji kusaidiwa ili wawepo wengi wakubwa. “Hadi leo hii unataka kuniambia kuna super star mmoja […]

 

10 years ago

Raia Mwema

Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

11 years ago

Michuzi

wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania

Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia.

TerrenceAkizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi uliopita, Juni 14, 2014, Rais Kikwete aliahidi kuchangia kuinua kiwango cha usanii na weledi wa wasanii wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani