Serikali Yasisitiza Kutoa Ushirikiano kwa Wasanii
![](https://1.bp.blogspot.com/-Lecqw3UI2BM/XsTPWFlMLLI/AAAAAAALq2s/sEO_nD5vhy0DXvtIT3jARyICS6gVvlrsgCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1-3.jpg)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimpongeza Msanii wa Filamu Bw. Ezekiel Mwakipageme maarufu kama Soudblack (wa kwanza kushoto) anayefanya kazi za filamu nchini China kwa mpango wake wa kushirikiana na wasanii wenzake watanzania katika kukuza tasnia ya filamu nchini wakati msanii huyo alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimsikiliza Msanii...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Serikali wilayani Ngorongoro yatakiwa kutoa ushirikiano kwa redio za kijamii
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali akiwakaribisha wadau wa maendeleo ofisini kwake Loliondo walioongozwa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph (wa tatu kushoto) aliyefuatana na Meneja Mauzo wa Kampuni a Samsung tawi la Tanzania , Bw. Slyvester Nteere (wa pili kushoto) pamoja na mwakilishi wa Ubalozi wa Uswiss nchini, Bw. Eric Kalunga (kushoto) wakiwa na mwenyeji wao Diwani wa kata ya Ololosokwani, Yannick Ndoinyo (kushoto kwa DC).
Na...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0010.jpg)
SERIKALI WILAYANI NGORONGORO YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA REDIO ZA KIJAMII
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vTz-F4DwlYU/Xp6DjK_HDVI/AAAAAAALnpw/V6vELiYQkOImsmA-hf2PVbGNkuojhaYFgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO
![](https://1.bp.blogspot.com/-vTz-F4DwlYU/Xp6DjK_HDVI/AAAAAAALnpw/V6vELiYQkOImsmA-hf2PVbGNkuojhaYFgCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-FbC164QI4Do/Xp6DizYcBGI/AAAAAAALnps/6ImHPyXN7SENZIV-B_Hx1AVXEEg8JEwyACLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
9 years ago
Michuzi14 Dec
Wasanii waaswa kuendeleza ushirikiano baina yao na Serikali
![cb3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/cb3.jpg)
![cb2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/cb2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xhRnUtWB8jWbofS4vWb3r7zEg2TmbSQYM5*ABnHakHJBpMNoGcqswUNsc9QICes5gMoLciqtqHMAEf3VoV9jru/NBS1.jpg?width=650)
MAANDALIZI SENSA YA VIWANDA YAKAMILIKA, SERIKALI YAWATAKA WADAU KUTOA USHIRIKIANO
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Maandalizi sensa ya viwanda yakamilika, Serikali yawataka wadau kutoa ushirikiano
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akifunga rasmi mafunzo ya siku 14 ya wasimamizi na wadadisi wa Sensa ya viwanda 2013 itakayofanyika nchini nzima kuanzia Februari 23, 2015. Hafla ya kufunga mafunzo hayo ilifanyika jana eneo la Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika jijini Dar es salaam.
Na Aron Sigma – MAELEZO
SERIKALI imesema kuwa maandalizi ya Sensa ya Viwanda ya mwaka 2013 itakayofanyika nchi nzima kuanzia Februari 23 mwaka huu yamekamilika na kuwataka...
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Ushirikiano kwa wasanii nguzo ya mafanikio
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/GreO8RvjRSs/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SIjSWFM3gAw/Vm6SC_bJdkI/AAAAAAAAsOQ/ZHmpJTieqEI/s72-c/24.jpg)
NAPE AAHIDI KUTOA USHIRIKIANO KWA WANAHABARI NA WASHIKA DAU WAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-SIjSWFM3gAw/Vm6SC_bJdkI/AAAAAAAAsOQ/ZHmpJTieqEI/s640/24.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2tjAzUfPL1g/Vm6SBwRoDGI/AAAAAAAAsN8/1aF0qrGEcXQ/s640/15.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-OOgIB_EBpPc/Vm6SBq9h9AI/AAAAAAAAsN4/YPAlbZsufB4/s640/17.jpg)