Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali wilayani Ngorongoro yatakiwa kutoa ushirikiano kwa redio za kijamii

DSC_0010

Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali akiwakaribisha wadau wa maendeleo ofisini kwake Loliondo walioongozwa na  Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph (wa tatu kushoto) aliyefuatana na Meneja Mauzo wa Kampuni a Samsung tawi la Tanzania , Bw. Slyvester Nteere (wa pili kushoto) pamoja na mwakilishi wa Ubalozi wa Uswiss nchini, Bw. Eric Kalunga (kushoto) wakiwa na mwenyeji wao Diwani wa kata ya Ololosokwani, Yannick Ndoinyo (kushoto kwa DC).

Na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SERIKALI WILAYANI NGORONGORO YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA REDIO ZA KIJAMII‏

Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali akiwakaribisha wadau wa maendeleo ofisini kwake Loliondo waliongozwa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph (wa tatu kushoto) aliyefuatana na Meneja Mauzo wa Kampuni ya Samsung tawi la Tanzania , Bw. Slyvester Nteere (wa pili kushoto) pamoja na mwakilishi wa Ubalozi wa Uswiss nchini, Bw. Eric Kalunga (kushoto) wakiwa na mwenyeji wao Diwani wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Redio za kijamii zatakiwa kutoa elimu kwa jamii

DSC_0323

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akifafanua jambo kwa Diwani wa kata ya Ololosokwani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika lisiolo la kiserikali la RAMAT inayomiliki Redio Loliondo FM, Bw. Yannick Ndoinyo (kushoto) wakati wa ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na UNESCO. Bw. Al Amin aliambatana na wadau wa maendeleo Meneja Mauzo wa Samsung tawi la Tanzania, Bw. Sylvester Nteere (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Ubalozi wa Uswiss nchini, Bw....

 

10 years ago

GPL

REDIO ZA KIJAMII ZATAKIWA KUTOA ELIMU KWA JAMII‏

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akifafanua jambo kwa Diwani wa kata ya Ololosokwani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika lisiolo la kiserikali la RAMAT inayomiliki Redio Loliondo FM, Bw. Yannick Ndoinyo (kushoto) wakati wa ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na UNESCO. Bw. Al Amin aliambatana na wadau wa maendeleo Meneja Mauzo wa Samsung tawi la Tanzania, Bw. Sylvester Nteere (wa...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Yasisitiza Kutoa Ushirikiano kwa Wasanii


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimpongeza Msanii wa Filamu Bw. Ezekiel Mwakipageme maarufu kama Soudblack (wa kwanza kushoto) anayefanya kazi za filamu nchini China kwa mpango wake wa kushirikiana na wasanii wenzake watanzania katika kukuza tasnia ya filamu nchini wakati msanii huyo alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimsikiliza Msanii...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi sensa ya viwanda yakamilika, Serikali yawataka wadau kutoa ushirikiano

NBS - 1

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa  akifunga rasmi mafunzo ya siku 14 ya wasimamizi na wadadisi wa Sensa ya viwanda 2013 itakayofanyika nchini nzima kuanzia Februari 23, 2015. Hafla ya kufunga mafunzo hayo ilifanyika jana eneo la  Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika jijini Dar es salaam.

Na Aron Sigma – MAELEZO

SERIKALI imesema kuwa maandalizi ya Sensa ya Viwanda ya mwaka 2013 itakayofanyika nchi nzima kuanzia Februari 23 mwaka huu yamekamilika na  kuwataka...

 

10 years ago

GPL

MAANDALIZI SENSA YA VIWANDA YAKAMILIKA, SERIKALI YAWATAKA WADAU KUTOA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa  akifunga rasmi mafunzo ya siku 14 ya wasimamizi na wadadisi wa Sensa ya viwanda 2013 itakayofanyika nchini nzima kuanzia Februari 23, 2015. Hafla ya kufunga mafunzo hayo ilifanyika jana eneo la  Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika jijini Dar es salaam.
Makamu Mkuu wa chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Dkt. Tumaini Katunzi akizungumza na wasimamizi na...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI WILAYANI CHUNYA KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WAJIPANGA KUTATUA KERO ZA MAJI WILAYANI HUMO

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Elias John Tarimo akizindua Mradi wa Kisima cha Maji Kijiji cha Ngwala Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya kilicho jengwa na Kampuni ya utafiti wa madini yaPeak Resources Katika kata ya Ngwala Wilayani humo.Baadhi ya Wananchi wakishuhudia uzinduzi wa Mradi wa Maji Kijiji cha Ngwala Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya.
Na Ezekiel Kamanga ,Mbeya,Jamiimojablog SERIKALI wilayani Chunya Mkoani Mbeya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wameendelea na jitihada mbalimbali katika...

 

9 years ago

Michuzi

NAPE AAHIDI KUTOA USHIRIKIANO KWA WANAHABARI NA WASHIKA DAU WAKE

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Wakurugenzi na Viongozi wa Idara mbali mbali walio chini ya Wizara yake ambapo aliwaambia kuwa atasimamia haki za wasanii zinapatikana na hatokuwa na huruma na wale wanaokwamisha au kudhulumu kazi za wasanii. 
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa ofisini kwake .
 Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura akiwasalimu Viongozi, Wakuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani