DIAMOND MPAKA SASA AONGOZA KURA ZA BET KWA KUNDI LA WASANII WA AFRIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-rg09OS8r780/U3j-GMnVYII/AAAAAAAFjk0/ToBAjTvOozk/s72-c/1.jpg)
Msanii Nasibu Abdul alias 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni alikuwa anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 75.79 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.34. na wengine kama jedwali linavyoonesha hapo chini. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND , BOFYA HAPA Kisha telemka chini hadi utapokuta "BEST INTERNATIONAL ACT:...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM03 Jun
DIAMOND ANAENDELEA KUKIMBIZA KWENYE KURA ZA MAONI BET
Kwenye mchakato wa kuelekea kwenye tuzo za BET, msanii pekee anayeiwakilisha Afrika Mashariki kwenye tuzo hizo kipengele cha Best International Act Diamond Platnumz anaendelea kumwacha mbali msanii ambaye anaonekana kuwa tishio kidogo kwake Davido kutoka nchini Nigeria, hiyo ni kwa nguvu za Watanzania, Wakenya,Waganda,Rwanda na Burundi,ili kumwezesha Diamond Platnumz kuchukua tuzo hiyo inatakiwa kucoment kwenye mitandao ya kijamii inayoendeshwa na BET Facebook,Twitter na Instagram.
Mpaka...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCDgGV261ahOKmg5yAAPXrPQYl03XgwyT6KJ*X7QZ*MGZLHCnMYImrDUCP6e6MPn1EcoaJ9sr4dvRld94Os09Lw0/diamondplatnumz.jpg)
DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Oct
Mpaka hivi sasa tume ya Taifa NEC imeshindwa kuweka Daftari la Wapiga kura hadharani, Jee UKAWA wamejipanga vipi?
Huku kukiwa na wasiwasi mkubwa kwa Vyama vya Upinzani kuhusu Daftari la wapiga kura kutokuwekwa hadharani ili vyama vya siasa kupata nafasi ya kulipitia, Vyama vilivyo ungana UKAWA wamekuwa na shaka kubwa kuwa Tume ya Taifa […]
The post Mpaka hivi sasa tume ya Taifa NEC imeshindwa kuweka Daftari la Wapiga kura hadharani, Jee UKAWA wamejipanga vipi? appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-HEK0QDRFAKk/VfbgSFxKdDI/AAAAAAAAc94/ZD0jx_zSt18/s72-c/3.jpg)
TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-HEK0QDRFAKk/VfbgSFxKdDI/AAAAAAAAc94/ZD0jx_zSt18/s640/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X5Wt3S3udSE/VfbhJIrz2BI/AAAAAAAAc-Q/Gr3Ol0vaPjo/s640/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GDe0f46dIZA/VfbhJuyupBI/AAAAAAAAc-U/4ESsV93HWu0/s640/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9uKwr4HtDww/VfbhH4OLdkI/AAAAAAAAc-I/QQDK6yIDvSg/s640/7.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WPd0HA-I9Ck/VfbhqYdprvI/AAAAAAAAc-k/JghbrBbsirU/s640/8.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QqWb_abmdRI/VfbhqPndAVI/AAAAAAAAc-g/5613cPEm1Zo/s640/9.jpg)
10 years ago
Jamtz.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-mk72x39QpoY/VAm9-GtNpXI/AAAAAAAABHk/wetbOmEVPv8/s72-c/betsfw.jpg)
BET HIP HOP AWARDS 2014 NOMINATIONS, DRAKE AONGOZA KWA KUA NOMINATED MARA 8 (ANGALIA LIST KAMILI)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mk72x39QpoY/VAm9-GtNpXI/AAAAAAAABHk/wetbOmEVPv8/s1600/betsfw.jpg)
BET HIP-HOP AWARDS NOMINEES
Best Hip-Hop Video
Drake – “Worst Behavior”
Future f/ Pharrell, Pusha T & Casino – “Move That Doh”
Iggy Azalea f/ Charli XCX – “Fancy”
J. Cole f/ TLC – “Crooked Smile”
Nicki Minaj – “Pills N Potions”
Wiz Khalifa – “We Dem Boyz”
Best Collabo, Duo or Group
Eminem f/ Rihanna – “The Monster”
Future f/ Pharrell, Pusha T & Casino – “Move That Doh”
Jay Z f/ Justin Timberlake – “Holy Grail”
ScHoolboy Q f/ BJ The Chicago Kid – “Studio”
YG f/ Jeezy & Rich Homie Quan – “My Hitta”
Best...
10 years ago
Bongo504 Mar
Collabo za wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi zinazidi kuongezeka, Sasa ni Chameleone (UG) na Patoranking (NG)
11 years ago
Mwananchi17 May
Hongera Diamond kwa kuteuliwa kuwania tuzo za BET
9 years ago
Bongo529 Dec
Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram
![1663203_863176703798731_1287169950_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1663203_863176703798731_1287169950_n-300x194.jpg)
Diamond Platnumz si tu msanii aliyechukua tuzo kubwa zaidi kuliko wasanii wote wa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best Worldwide Act: Africa/India), bali pia ndiye msanii anayeishi barani Afrika mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.
Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.
Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.
Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.
1. Diamond...
10 years ago
Bongo527 Oct
Diamond atajwa na Channel O miongoni mwa wasanii walioubadilisha muziki wa Afrika