Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hongera Diamond kwa kuteuliwa kuwania tuzo za BET

Nyota ya Tanzania katika sanaa imepata mwangaza na msukumo mpya baada ya msanii wake mahiri, Naseeb Abdul au Diamond kuteuliwa kuwania tuzo maarufu za BET zitakazofanyika baadaye mwaka huu kule Marekani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SAUTI SOL WATAJWA KUWANIA TUZO ZA BET 2015

Wasanii wanaounda kundi maarufu la Sauti Sol nchini Kenya. BEST FEMALE R&B/POP ARTIST
BEYONCÉ
CIARA
JANELLE MONÁE
JHENÉ AIKO
K. MICHELLE
RIHANNA BEST MALE R&B/POP ARTIST
AUGUST ALSINA
CHRIS BROWN
JOHN LEGEND
THE WEEKND
TREY SONGZ
USHER BEST GROUP
A$AP MOB
JODECI
MIGOS
RAE SREMMURD
RICH GANG
YOUNG MONEY BEST… ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Diamond uso kwa uso na Nelly kwenye red carpet ya tuzo za BET nchini Marekani

Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platinumz a.k.a Rais wa wasafi leo amepost picha akisalimiana na msanii wa muziki wa kufokafoka wa nchini Marekani Nelly kwenye red carpet wakati wa sherehe za tuzo za BET ambapo ameandika hivi ” Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi… kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi...

 

10 years ago

Bongo5

BASATA lawapongeza Diamond, Msechu na Vanessa kwa kutajwa kuwania tuzo za AFRIMA 2014

Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA, limewapongeza Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Peter Msechu kwa kutajwa kuwania kwenye tuzo za All Africa Music Awards, AFRIMA 2014. Pia baraza hilo limempongeza Diamond kwa kuchagulikuwa kuwa msanii wa mwezi wa MTV Base. Haya ni maelezo yaliyotolewa na Katibu Mkuu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza. Baraza la Sanaa […]

 

11 years ago

Michuzi

HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi(LPC) Inatoa Pongezi kwa ACP Renatha Mzinga(pichani) aliekuwa Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi kwa kuteuliwa na MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI. Taarifa iliyotolewa leo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi,Abdulaziz Ahmeid ameeleza kuwa kuwa Klabu hiyo Imepokea mabadiliko hayo na kuhaidi Ushirikiano mkubwa baina ya klabu na Jeshi hilo.  "Kwa niaba ya wanahabari...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Kwanza Production na Diamond Platnumz baada ya tuzo za BET

Diamond Platnumz na DMK kwenye utoaji tuzo za BET Los Angeles
Photo Credits: DMK Global Promotions' facebook page
Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Damond Platnumz. Msanii mwenye mafanikio makubwa kutoka nchini TanzaniaAmejiunga nasi kwa njia ya simu punde baada ya kuhudhuria utoaji tuzo za BET ambako yeye alikuwa mmoja wa waliokuwa wakiwania tuzo hizo.Kazungumza mengi kuhusu TUZO HIZO.Alipopokea na alivyopokea uteuzi wake, aliloliona kwenye tuzo hizo, ulinganishaji wake katika...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia  76.39 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014… ...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA CHOAMVA 2014

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz'. Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz' ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST. Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi, tarehe 29 November, Nasrec Expo Centre mjini Soweto, Afrika Kusini....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani