Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Diamond achaguliwa (nominated) kugombea BET Awards 2014


Msanii maarufu na mtumbuizaji Hapa nchini Nassib Abdul, maarufu kama DIAMOND PLATNUMZ,  ni miongoni mwa wasanii waliochaguliwa kwenda katika Tuzo za B.E.T zinazoandaliwa na kituo cha Television cha watu weusi nchini Marekani 'Black Entertainment Television' (BET) Tuzo ambazo zinatambulika sana kimataifa.

Msanii huyu ambae amekuwa nominated kwenye category ya 'Best African Acts' akichuana na wasanii kama Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), na Tiwa Savage...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia  76.39 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014… ...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT

Davido akiwa na tuzo yake. Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:… ...

 

11 years ago

GPL

BET AWARDS NI DIAMOND TENA KESHO

Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’. UMEKUCHA! Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014 kesho Juni 29.
Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’. Kupitia wimbo wa My Number One (Remix),...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond achaguliwa kuwania tuzo mbili za IRAWMA 2015 za Marekani

Diamond Platnumz anaendelea kupata nominations za tuzo mbalimbali ndani na nje ya Afrika, ambapo hivi sasa amechaguliwa kuwania tuzo mbili za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) 2015 za Marekani. Baba Tiffah amechaguliwa kuwania kipengele cha ‘Best African Song’ kupitia wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour wa Nigeria, pamoja na ‘Best African Entertainer’. “Alhamdulilah… ndugu […]

 

11 years ago

GPL

RED CARPET YA TUZO ZA BET 2014

NeYo akipozi kwenye Red Carpet. Claudia Jordan.…

 

11 years ago

Mwananchi

Hongera Diamond kwa kuteuliwa kuwania tuzo za BET

Nyota ya Tanzania katika sanaa imepata mwangaza na msukumo mpya baada ya msanii wake mahiri, Naseeb Abdul au Diamond kuteuliwa kuwania tuzo maarufu za BET zitakazofanyika baadaye mwaka huu kule Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani