BET AWARDS NI DIAMOND TENA KESHO

Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’. UMEKUCHA! Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014 kesho Juni 29. Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’. Kupitia wimbo wa My Number One (Remix),...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Diamond achaguliwa (nominated) kugombea BET Awards 2014
.jpg)
Msanii maarufu na mtumbuizaji Hapa nchini Nassib Abdul, maarufu kama DIAMOND PLATNUMZ, ni miongoni mwa wasanii waliochaguliwa kwenda katika Tuzo za B.E.T zinazoandaliwa na kituo cha Television cha watu weusi nchini Marekani 'Black Entertainment Television' (BET) Tuzo ambazo zinatambulika sana kimataifa.
Msanii huyu ambae amekuwa nominated kwenye category ya 'Best African Acts' akichuana na wasanii kama Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), na Tiwa Savage...
11 years ago
Michuzi
Diamond Platnumz atanua katika Red Carpet ya BET Awards huko California


11 years ago
GPLDIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...
10 years ago
Africanjam.Com
NOMINEES BET AWARDS 2015

BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA
Aka (South Africa)
Fally Ipupa (Dr Congo)
Sarkodie (Ghana)
Sauti Sol (Kenya)
Stonebwoy (Ghana)
The Soil (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Yemi Alade (Nigeria)
NEW CATEGORY BET GLOBAL GOOD AWARD
Millen Magese (Tanzania)
BEST FEMALE R&B/POP ARTIST
Beyoncé
Ciara
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
BEST MALE R&B/POP ARTIST
August Alsina
Chris Brown
John Legend
The Weeknd
Trey Songz
Usher
BEST GROUP
A$Ap Mob
Jodeci
Migos
Rae Sremmurd
Rich Gang
Young Money
BEST COLLABORATION
August Alsina F/...
11 years ago
GPL30 Jun
10 years ago
Africanjam.Com
LIST KAMILI YA WASHINDI "BET AWARDS 2015"

Best...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Usher na Kanye West kutingisha BET Awards 2015
Leo ni siku ambayo litarekodiwa tukio la nane la kihistoria la kutunza wanamuziki ambao mchango wao ni mkubwa katika medani ya muziki wa kizazi kipya duniani, maarufu kwa jina la BET Music Awards.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania