Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania haina kipimo cha Ebola

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid

Aziza Masoud na Geofrey Jacka, Dar es Salaam

SERIKALI imesema haina vipimo vya kutambua ugonjwa wa Ebola.

Kutokana na hali hiyo imesema ikiwa atatokea mgonjwa mwenye virusi vya ugonjwa huo watalazimika kupeleka damu ya mgonjwa jijini Nairobi nchini Kenya ambako kuna maabara inayoweza kutambua virusi hivyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alisema kutokana na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mbatia aishangaa serikali kukosa kipimo cha Ebola

Balozi wa Majanga Afrika, James Mbatia,(pichani) amesema Serikali‘inajifedhehesha kwa kushindwa kuisaidia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kutokana na kutokuwa mtambo wake wa kuchunguza sampuli za damu za wagonjwa wakiwamo wanaohisiwa kuwa na virusi vya Ebola kutegemea vipimo vya Kenya.

Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, alisema kwa Wizara ya Afya kukiri kwamba vipimo hivyo huchukuliwa na kupelekwa Nairobi kwa ajili ya uchunguzi zaidi ni fedheha kwa taifa ambalo...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania yaanguka kipimo cha uwazi wa bajeti 2015

Tanzania imeshindwa kuongeza kiwango cha upatikanaji wa taarifa za bajeti yake ya Taifa kwa wananchi na kuwa nyuma ya Kenya na Uganda, imefahamika.

 

10 years ago

Michuzi

JENGA TANZANIA FOUNDATION YAWALETEA KIPIMO CHA MALARIA PAPO HAPO !.

Mwanadiaspora Mtanzania na Mkurugenzi wa JENGA TANZANIA FOUNDATION Bw. Nasoro Ally akitambulisha rasmi Home Malaria Kit katika mkutano wa  Africa Diaspora Market Place (ADMP III) uliofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani tarehe 10/27/2014.Akizungumza katika mkutano huo, Bw.. Nasoro Ally alieleza  kuwa  bado Malaria ni tishio kubwa la uhai kwa Sub-Sahara Africa na ni chanzo cha vifo vya watoto wadogo hasa chini ya umri wa miaka 5 . Kipimo hicho chenye uwezo wa kugundua vijidudu vya...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGA TANZANIA FOUNDATION YAWALETEA KIPIMO CHA MALERIA PAPO KWA HAPO

Mwanadiaspora Mtanzania na Mkurugenzi wa JENGA TANZANIA FOUNDATION Bw. Nasoro Ally akitambulisha rasmi Home Malaria Kit katika mkutano wa  Africa Diaspora Market Place (ADMP III) uliofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani tarehe 10/27/2014.Akizungumza katika mkutano huo, Bw.. Nasoro Ally alieleza  kuwa  bado Malaria ni tishio kubwa la uhai kwa Sub-Sahara Africa na ni chanzo cha vifo vya watoto wadogo hasa chini ya umri wa miaka 5 . 
Kipimo hicho chenye uwezo wa kugundua vijidudu vya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania haina ugonjwa wa EBOLA, udhibiti viwanja vya ndege na mipakani waimarishwa

SONY DSC

Mtaalam wa ufuatiliaji wa magonjwa ya binadamu wa wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kuhusu historia ya ugonjwa wa Ebola, Virusi vyake , dalili na namna unavyoenea wakati wa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo jijini Dar es salaam.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

Imeelezwa kuwa Tanzania kwa sasa haina  raia yeyote  aliyeingia nchini kutoka mataifa mengine aliyebainika kuwa na maabukizi ya Virusi vya ugonjwa wa Ebola kufuatia zoezi...

 

11 years ago

Mwananchi

Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili

“Laiti ningekuwa na moyo wa kukata tamaa, nisingefika hapa nilipo. Siyo hivyo tu, bali pia ingekuwa vigumu watu wengine kufaidika na ujuzi wangu,” anasema Elika Mwamengo (33) alipoongea na Mwananchi kuhusu mafanikio yake kimaisha.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Liberia haina Ebola tena

Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza rasmi kwamba hakuna tena Ebola nchini Liberia.

 

9 years ago

BBCSwahili

WHO:Sierra Leone haina Ebola

Maelfu ya watu wa Sierra Leone wameteremka katika barabara za mji mkuu, Freetown, kusherehekea kuwa zimepita siku 42 bila ya mtu yeyote kuuguwa ugonjwa wa Ebola.

 

11 years ago

Mwananchi

Kipimo cha uongozi si kuifunga Simba au Yanga

Wapo watu ambao huwezi kuwabadilisha akili katika Simba na Yanga hasa kwa kile wanachokiamini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani