Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania haina ugonjwa wa EBOLA, udhibiti viwanja vya ndege na mipakani waimarishwa

SONY DSC

Mtaalam wa ufuatiliaji wa magonjwa ya binadamu wa wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kuhusu historia ya ugonjwa wa Ebola, Virusi vyake , dalili na namna unavyoenea wakati wa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo jijini Dar es salaam.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

Imeelezwa kuwa Tanzania kwa sasa haina  raia yeyote  aliyeingia nchini kutoka mataifa mengine aliyebainika kuwa na maabukizi ya Virusi vya ugonjwa wa Ebola kufuatia zoezi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VIFAA VYA KUBAINI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA EBOLA KUPITIA JOTO LA MWILI VYAWASILI NCHINI, KUANZA KUTUMIKA VIWANJA VYA NDEGE

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Kebwe Steven Kebwe (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Afya na Usafi wa Mazingira wa Wizara ya Afya na Ustawi Dkt. Elias Chinamo moja ya kifaa (kamera) itakayotumika kupima dalili za ugonjwa wa Ebola kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia viwanja vya ndege ili kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa salama kwa kuuzuia ugonjwa huo kuingia nchini.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege

Ebola - 4

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

 Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...

 

11 years ago

Mwananchi

Ulinzi waimarishwa Viwanja vya Sabasaba

Ulinzi katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), yanayofanyika katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere umeimarishwa na kazi ya kufunga kamera za ulinzi imekamilika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yatengeneza viwanja vya ndege

Kasi ya kutengeneza viwanja vya ndege itaondoa kero ya usafiri?

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO TOKA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA

  




































Bodi  ya Ushauri, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wanasikitika  kutangaza kifo cha  Mwenyekiti wa Bodi  ya TAA,   Mhandisi Lambert W. Ndiwaita  kilichotokea   tarehe 20/08/2015  katika  Hospitali  ya Nairobi,  Kenya.  
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake mjini Bukoba  tarehe 25/08/2015.Mhandisi  Lambert Ndiwaita (64)  alikuwa ni mmoja wa wataalamu waliobobea katika masuala ya  usafiri wa anga  kitaifa na kimataifa. Katika kipindi cha uhai...

 

10 years ago

Mwananchi

Vifaa vya ebola kufungwa mipakani

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inatarajia kufunga vifaa vya kupimia joto (Thermal Scanner) katika mipaka ya nchi ili kudhibiti kuenea ugonjwa wa ebola ambao umeelezwa umeingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) YAZUNGUMZIA MAFANIKIO NA MIRADI YAKE MBALIMBALI

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman Suleiman, akizungumza na waandishi wa habari katika banda la mamlaka hiyo kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TAA pamoja na miradi yao. Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa TAA, Laurent Mwigune (kulia), akizungumza na wanahabari kuhusu shughuli zinazofanywa na TAA.
 Kamanda Msaidizi wa Kikosi cha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa kampuni ya Ndege ya Fastjet watembelea Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)

Fastje2

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman (katikati) akipokea zawadi ya sanamu ya ndege toka kwa Meneja Mkuu wa kampuni ya Ndege ya Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati baada ya viongozi wa kampuni hiyo kutembelea uongozi wa TAA na kufanya mazunguzmo mafupi hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Meneja wa mahusiano kati ya Fastjet na Serikali, Engineer August Kowero.

Fastjet3

 

9 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE

SHIRIKA la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani