MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) YAZUNGUMZIA MAFANIKIO NA MIRADI YAKE MBALIMBALI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman Suleiman, akizungumza na waandishi wa habari katika banda la mamlaka hiyo kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TAA pamoja na miradi yao. Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa TAA, Laurent Mwigune (kulia), akizungumza na wanahabari kuhusu shughuli zinazofanywa na TAA.
Kamanda Msaidizi wa Kikosi cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) AHUDHURIA MAHAFALI YA 46 YA SHULE YA SEKONDARI PUGU
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
Viongozi wa kampuni ya Ndege ya Fastjet watembelea Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman (katikati) akipokea zawadi ya sanamu ya ndege toka kwa Meneja Mkuu wa kampuni ya Ndege ya Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati baada ya viongozi wa kampuni hiyo kutembelea uongozi wa TAA na kufanya mazunguzmo mafupi hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Meneja wa mahusiano kati ya Fastjet na Serikali, Engineer August Kowero.
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, DKT. SHAABAN MWINJAKA AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA), YATOA MSAADA WA MADAWATI YENYE THAMANI YA SH.MILIONI 10 KWA SHULE YA MSINGI YOMBO
9 years ago
MichuziTANGAZO LA KIFO TOKA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA
Bodi ya Ushauri, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wanasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya TAA, Mhandisi Lambert W. Ndiwaita kilichotokea tarehe 20/08/2015 katika Hospitali ya Nairobi, Kenya.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake mjini Bukoba tarehe 25/08/2015.Mhandisi Lambert Ndiwaita (64) alikuwa ni mmoja wa wataalamu waliobobea katika masuala ya usafiri wa anga kitaifa na kimataifa. Katika kipindi cha uhai...
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO), LAELEZEA MAFANIKIO YA MIRADI YAKE MBALIMBALI
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Zena Kongoi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na shirika hilo katika miradi mbalimbali....
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Tanzania yatengeneza viwanja vya ndege
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Tanzania haina ugonjwa wa EBOLA, udhibiti viwanja vya ndege na mipakani waimarishwa
Mtaalam wa ufuatiliaji wa magonjwa ya binadamu wa wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kuhusu historia ya ugonjwa wa Ebola, Virusi vyake , dalili na namna unavyoenea wakati wa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.
Imeelezwa kuwa Tanzania kwa sasa haina raia yeyote aliyeingia nchini kutoka mataifa mengine aliyebainika kuwa na maabukizi ya Virusi vya ugonjwa wa Ebola kufuatia zoezi...
10 years ago
VijimamboBODI YA USHAURI YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI MBALIMBALI JIJINI MWANZA