Viongozi wa kampuni ya Ndege ya Fastjet watembelea Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman (katikati) akipokea zawadi ya sanamu ya ndege toka kwa Meneja Mkuu wa kampuni ya Ndege ya Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati baada ya viongozi wa kampuni hiyo kutembelea uongozi wa TAA na kufanya mazunguzmo mafupi hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Meneja wa mahusiano kati ya Fastjet na Serikali, Engineer August Kowero.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) YAZUNGUMZIA MAFANIKIO NA MIRADI YAKE MBALIMBALI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-g_C9s_MCI6s/ViqbPEc1XpI/AAAAAAAICLQ/igWvKGqQDZg/s72-c/001.jpg)
MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA) AHUDHURIA MAHAFALI YA 46 YA SHULE YA SEKONDARI PUGU
![](http://2.bp.blogspot.com/-g_C9s_MCI6s/ViqbPEc1XpI/AAAAAAAICLQ/igWvKGqQDZg/s640/001.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1kucixnPr-Y/ViqbPAnZNdI/AAAAAAAICLU/Cy0ivYMLBWw/s640/003.jpg)
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, DKT. SHAABAN MWINJAKA AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA), YATOA MSAADA WA MADAWATI YENYE THAMANI YA SH.MILIONI 10 KWA SHULE YA MSINGI YOMBO
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Kampuni ya Fastjet kutoa mafunzo kwa maafisa wa viwanja vya ndege juu ya masuala ya wanyamapori
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KGuNeo4G49c/VdxYFQ1IBPI/AAAAAAAHz3s/6hxpIct4sTQ/s72-c/New%2BPicture.png)
TANGAZO LA KIFO TOKA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-KGuNeo4G49c/VdxYFQ1IBPI/AAAAAAAHz3s/6hxpIct4sTQ/s640/New%2BPicture.png)
Bodi ya Ushauri, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wanasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya TAA, Mhandisi Lambert W. Ndiwaita kilichotokea tarehe 20/08/2015 katika Hospitali ya Nairobi, Kenya.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake mjini Bukoba tarehe 25/08/2015.Mhandisi Lambert Ndiwaita (64) alikuwa ni mmoja wa wataalamu waliobobea katika masuala ya usafiri wa anga kitaifa na kimataifa. Katika kipindi cha uhai...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mWR5AJF1938/VnqJZmD9A2I/AAAAAAAIOM4/oePQsgqdK0E/s72-c/1.jpg)
SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE
![](http://2.bp.blogspot.com/-mWR5AJF1938/VnqJZmD9A2I/AAAAAAAIOM4/oePQsgqdK0E/s640/1.jpg)
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege
Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.
Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...