Vifaa vya ebola kufungwa mipakani
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inatarajia kufunga vifaa vya kupimia joto (Thermal Scanner) katika mipaka ya nchi ili kudhibiti kuenea ugonjwa wa ebola ambao umeelezwa umeingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Tanzania haina ugonjwa wa EBOLA, udhibiti viwanja vya ndege na mipakani waimarishwa
Mtaalam wa ufuatiliaji wa magonjwa ya binadamu wa wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kuhusu historia ya ugonjwa wa Ebola, Virusi vyake , dalili na namna unavyoenea wakati wa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.
Imeelezwa kuwa Tanzania kwa sasa haina raia yeyote aliyeingia nchini kutoka mataifa mengine aliyebainika kuwa na maabukizi ya Virusi vya ugonjwa wa Ebola kufuatia zoezi...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Vifaa vya kudhibiti nyuklia kufungwa
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.
Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*VZcZvMzK4F-sZbGzsUxm-G0-U-8wJkMrnFZCRKSk7HWhjZpNfS88gyhtNOf1wLOBuD9WDKT1Ws8SPmMS0EFP9S/unnamed3.jpg?width=650)
VIFAA VYA KUBAINI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA EBOLA KUPITIA JOTO LA MWILI VYAWASILI NCHINI, KUANZA KUTUMIKA VIWANJA VYA NDEGE
10 years ago
Habarileo23 Aug
Vifaa vya ebola vyawasili
SERIKALI imeanza kuingiza nchini vifaa vya kuwabaini watu wanaohisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa homa kali ya ebola ambavyo vitawekwa kwenye viwanja vya ndege pamoja na baadhi ya maeneo ya mipakani.
10 years ago
Habarileo28 Aug
Mwanza wapata vifaa vya ebola
HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza, Sekou Toure imepokea jozi 150 za vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa ebola na tayari vimegawiwa katika hospitali sita za mkoa.
10 years ago
Habarileo21 Aug
Ebola kudhibitiwa mipakani
MAOFISA wa idara mbalimbali za Serikali zikiwemo za Uhamiaji, Polisi na Usalama wa Taifa kwa nchi za Tanzania na Kenya wameweka mikakati ya pamoja katika mipaka ya Isebania na Sirari katika kudhibiti wageni ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa ebola.
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami na Ebola
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam jana, kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...
10 years ago
GPLWHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLA