Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vifaa vya kudhibiti nyuklia kufungwa

Kampuni ya Atomtek ya Uturuki inatarajia kuwekeza zaidi ya Sh135 bilioni nchini kwa ajili ya kufunga mitambo kwenye viwanja vya ndege, bandari na mipakani kudhibiti bidhaa zenye madhara yatokanayo na nguvu za kinyuklia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vifaa vya ebola kufungwa mipakani

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inatarajia kufunga vifaa vya kupimia joto (Thermal Scanner) katika mipaka ya nchi ili kudhibiti kuenea ugonjwa wa ebola ambao umeelezwa umeingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

 

9 years ago

StarTV

   TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.

Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.

Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA   Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yazima vinu vya nyuklia Japan

Vinu 50 vya nyuklia vya Japan vilifungwa mwaka wa 2011 kufuatia mkasa wa Fukushima.

 

11 years ago

Habarileo

Vifaa kudhibiti ebola vyawasili

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen KebweVIFAA tiba vinavyotumika kutibu na kujikinga na ugonjwa wa ebola, vilivyoagizwa kutoka Marekani kujikinga na ugonjwa huo hatari, vimewasili nchini mwishoni mwa wiki iliyopita na kuhifadhiwa katika Bohari ya Dawa (MSD).

 

5 years ago

Michuzi

Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya

Vyombo vya habari vya Morocco vimeripoti kwamba, maafisa wa nchi hiyo wamenasa maelfu ya maski za masuala ya tiba zilizokuwa zikitoroshwa na kupelekwa Ulaya.

Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.

Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona

New York imetoa wito kwa serikali kutuma vifaa zaidi vya kupima virusi vya corona katika jimbo hilo huku visa vya maambukizi vikiongezeka.

 

10 years ago

Mwananchi

Vituo vya watoto ‘feki’ kufungwa

Dodoma. Serikali imesema haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria wote wanaotumia watoto wa mitaani kujinufaisha. Kauli hiyo ilitolewa jana na Kamishna Msaidizi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kitengo cha haki za mtoto na marekebisho ya tabia, Stephen Gumbo kwenye mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la kulea watoto la Kisedet mjini hap

 

10 years ago

Habarileo

Kanda zaagizwa kutumia vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviSERIKALI imeagiza kila kanda kuwa na vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi ambavyo vitawekwa katika halmashauri mbalimbali nchini, ili viweze kutumiwa na vijana wanaohitimu vyuo wenye taaluma ya masuala ya ardhi.

 

5 years ago

Ykileo

NAMNA BORA YA KULINDA VIFAA VYA TEHAMA VYA WATOTO



KWA UFUPI: Kutokana na ukuaji wa teknolojia pamoja na muunganiko wa vitu vingi katika mtandao (IoT) vifaa vingi vya watoto vimekua mhanga mkubwa wa uhalifu mtandao – Hii imepelekea kuchukuliwa kwa hutua mbali mbali za kulinda watoto mitandaoni. Andiko hili lina angazia namna bora ya kulinda vifaa vya watoto vya TEHAMA.

-----------------------------------------


Kumekua na matukio kadhaa yaliyo husisha kuingiliwa kimtandao (kudukuliwa) kwa vifaa vinavyo tumiwa na watoto huku wahalifu mtandao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani