TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu
Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.
Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.
Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Jun
TBS NA TFDA WATAKIWA KUDHIBITI BIDHAA ZISIZO NA UBORA ILI KULINDA UCHUMI
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2269734/lowRes/721356/-/nkmp03/-/FEKI.jpg)
Mamlaka ya Chakula na dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS), wameshauriwa kuwadhibiti zaidi wafanyabiashara wasio waaminini ambao wanaingia nchini bidhaa sizizo na ubora kwani wanaporomosha uchumi.
Meneja masoko wa kampuni ya Wrigleys (EA) Company Ltd, Emanuel Laswai, alitoa kauli hiyo juzi, katika uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni hiyo ya Doublemint nchini Tanzania.
Laswai alisema, uingizwaji wa bidhaa feki na zisizo na ubora zina athari za...
10 years ago
MichuziNHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA
10 years ago
Habarileo27 May
TFDA yaombwa kufuatilia ubora wa vipodozi vya asili
WATUMIAJI wa vipodozi wameishauri Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kufuatilia na kuwachukulia hatua watengenezaji wa vipodozi vya asili, wanaodanganya ubora wa bidhaa zao wakati zinaathiri ngozi za watumiaji.
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.
Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...
10 years ago
Habarileo15 Aug
Wajawazito washauriwa kula vyakula vya kuongeza damu
IMEBAINIKA kuwa tatizo la upungufu wa damu kwa wajawazito mkoani Kagera hasa waishio vijijini na visiwani, linatokana na wengi wao na jamii kwa ujumla kutoelewa aina vyakula wanavyopaswa kula kuongeza damu mwilini. Hayo yalibainika mjini hapa baada ya baadhi ya wajawazito walio katika mradi wa ‘Mama ye’ wa kuokoa maisha ya mjamzito na watoto wachanga chini ya shirika la Evidence 4 Action kuzungumza na gazeti hili hivi karibuni.
11 years ago
Habarileo31 Dec
Vinywaji vya kuongeza nguvu ni hatari
VINYWAJI baridi vyenye lengo la kuongeza nguvu vinadaiwa kuwa hatari kwa afya ya watumiaji baada ya kubaini baadhi ya kemikali husababisha madhara mwilini.
10 years ago
VijimamboMKURANGA WAKABIDHIWA VIFAA VYA KUPIMA NA KUTIBU MACHO
5 years ago
BBCSwahili01 May
Mwanamziki Brian May amekosoa uhaba wa vifaa vya kupima corona