Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA yaombwa kufuatilia ubora wa vipodozi vya asili

WATUMIAJI wa vipodozi wameishauri Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kufuatilia na kuwachukulia hatua watengenezaji wa vipodozi vya asili, wanaodanganya ubora wa bidhaa zao wakati zinaathiri ngozi za watumiaji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TFDA yavifungia viwanda vitano vya vipodozi

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), imevifungia viwanda vitano vya kutengeneza vipodozi kwa muda wa miezi sita baada ya kubainika kutengeneza krimu, losheni na jeli zenye viambato sumu aina ya ‘steroid’ ambavyo vina madhara kwa binadamu.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kutoa vifaa vya upimaji maradhi Wataalamu Wa Tiba Asili

 

Wataalamu wa tiba asili wameiomba Serikali kutoa usaidizi wa vifaa vya upimaji wa maradhi mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha kutoa tiba kwa kiwango kinachokubalika.

Baadhi ya hospitali nchini zinadaiwa kuwa zimekuwa zikitoa masharti magumu kwa waganga wa tiba asili kupata vipimo kwa wagonjwa wao hali inayowafanya kujiingiza katika upigaji ramli chonganishi.

 

Wilaya ya Chato mkoani Geita iliyopo Magharibi mwa Tanzania baada ya kumtoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,umaarufu wake...

 

9 years ago

StarTV

   TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.

Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.

Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA   Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...

 

10 years ago

Habarileo

TFDA kufuatilia vyakula vyenye virutubishi

Ofisa Habari wa TFDA, Gaudencia Simwanza MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imeandaa mpango wa ufuatiliaji wa ubora na usalama wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi kwenye soko.

 

10 years ago

Habarileo

TFDA yateketeza tani 6 za vipodozi

 MAMLAKA ya Chakula na Dawa Kanda ya Kati Dodoma (TFDA), imeteketeza vipodozi vyenye viambata vya sumu vyenye uzito wa tani tano na nusu vyenye thamani ya zaidi la Sh milioni 48.

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA yateketeza shehena ya vipodozi

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Kanda ya Kati imetekeza shehena ya vipodozi vyenye viambata vya sumu vya thamani ya Sh49 milioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFDA yapiga marufuku vipodozi 200

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imepiga marufuku vipodozi 222, baada ya kugundulika kuwa vina viambata vyenye sumu. Kaimu Meneja wa TFDA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Rodney Alananga,...

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA yanasa vipodozi, vyakula feki

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Kanda ya Ziwa, imekamata vipodozi vilivyopigwa marufuku na vyakula vilivyokwisha muda wake wa matumizi vyenye thamani ya zaidi ya Sh27 milioni.     

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFDA yakamata tani 34 za vipodozi hatari

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imesema katika kaguzi za mwaka 2012 hadi 2013  wamekamata jumla ya tani 34 za vipodozi visivyofaa vyenye thamani ya sh milioni 188. Ofisa Habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani