Serikali yaombwa kutoa vifaa vya upimaji maradhi Wataalamu Wa Tiba Asili
Wataalamu wa tiba asili wameiomba Serikali kutoa usaidizi wa vifaa vya upimaji wa maradhi mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha kutoa tiba kwa kiwango kinachokubalika.
Baadhi ya hospitali nchini zinadaiwa kuwa zimekuwa zikitoa masharti magumu kwa waganga wa tiba asili kupata vipimo kwa wagonjwa wao hali inayowafanya kujiingiza katika upigaji ramli chonganishi.
Wilaya ya Chato mkoani Geita iliyopo Magharibi mwa Tanzania baada ya kumtoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,umaarufu wake...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Serikali yashtukia vifaa tiba asili, mbadala
9 years ago
Michuzi24 Dec
11 years ago
Mwananchi04 Sep
Serikali yasitisha vibali vya matangazo ya tiba asili
11 years ago
GPLBARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO
10 years ago
Habarileo27 May
TFDA yaombwa kufuatilia ubora wa vipodozi vya asili
WATUMIAJI wa vipodozi wameishauri Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kufuatilia na kuwachukulia hatua watengenezaji wa vipodozi vya asili, wanaodanganya ubora wa bidhaa zao wakati zinaathiri ngozi za watumiaji.
9 years ago
StarTV30 Nov
Serikali yashauriwa kutenga bajeti ya kununua vifaa tiba ili Kupunguza Vifo Vya Watoto
SERIKALI imepewa changamoto ya kutenga fedha katika bajeti yake na kununua vifaa tiba pamoja na dawa zitakazosaidia kupunguza au kuondoa kabisa vifo vya watoto wachanga hapa nchini ambapo ripoti mbalimbali zinaonyesha mwaka jana pekee imefikia watoto elfu kumi na tatu.
Changamoto hiyo imetolewa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation muda mfupi baada ya kukabidhi vifaa vitakavyosaidia kuokoa maisha ya watoto wachanga hususani watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa.
Ndani ya...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI KUWEKEZA KATIKA UTAFITI WA TIBA ASILI


5 years ago
Michuzi
Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya

Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.
Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...
5 years ago
CCM Blog
KIWANDA CHA VIFAA TIBA SIMIYU KUIPUNGUZIA MSD UAGIZAJI WA VIFAA TIBA NJE YA NCHI
