BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi24 Dec
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Tanzania:Matangazo tiba asili marufuku
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Serikali yapiga marufuku matangazo yanayohusu Tiba asili
![](http://1.bp.blogspot.com/-iqJ-Kq7M9_E/Vny93ECcrxI/AAAAAAAAsfE/GYq5Ag0wppo/s1600/1.jpg)
Taarifa kutoka Wizara ya Afya kuanzia tarehe 24 Desemba 2015 imepiga marufuku matangazo yote yanayohusu tiba asili na tiba mbadala kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Wale wote wenye vibali wanatakiwa kuviwasilisha vibali na matangazo yao kwenye Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala ili vifanyiwe mapitio. Utoaji wa elimu ya afya kwa umma unaofanywa na...
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Serikali yasitisha vibali vya matangazo ya tiba asili
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Serikali yashtukia vifaa tiba asili, mbadala
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TsZTQ5rKm_s/Xkyz7QMVsZI/AAAAAAALeHQ/L-fxwlSAqwcUXmwWm7oSriqBFnSToHHIgCLcBGAsYHQ/s72-c/12c55a4f-2716-4cf1-8e19-fb448b0a07fd.jpg)
WAGANGA WA TIBA ASILI/MBADALA FUATENI SHERIA-DKT. CHAULA
![](https://1.bp.blogspot.com/-TsZTQ5rKm_s/Xkyz7QMVsZI/AAAAAAALeHQ/L-fxwlSAqwcUXmwWm7oSriqBFnSToHHIgCLcBGAsYHQ/s640/12c55a4f-2716-4cf1-8e19-fb448b0a07fd.jpg)
Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akiongea na waandishi wa habari
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/fdf12bf4-618a-4d2b-a4f6-0007379db1c1-1024x683.jpg)
Wanafunzi wa sekondari walioshiriki kongamano la wajasiriamali na upimaji wa afya
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/ce204ffd-565e-449b-8019-5c2b4aefcba4-1024x683.jpg)
Watoto wakimsikiliza Katibu Mkuu(hayupo pichani)
……………………………………..
Na.Catherine Sungura, Chato
Waganja wa Tiba asili na tiba mbadala wote nchini, wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata Sheria, kanuni, taratibu zilizowekwa na Serikali .
Hayo yamesemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OGr1Tn__XZ8/VoFCVoPuMKI/AAAAAAAIPBs/19KJDCnzPvw/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
SERIKALI YASEMA TAMKO LAKE LA TIBA ASILI NA MBADALA LIKO PALEPALE
![](http://2.bp.blogspot.com/-OGr1Tn__XZ8/VoFCVoPuMKI/AAAAAAAIPBs/19KJDCnzPvw/s400/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
Serikali imesema kwamba tamko lake lilitolewa hivi karibuni kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala palepale kwa kuwa lengo lake ni kuboresha huduma hiyo. Hivyo kama kuna mtoa huduma ambaye amekwazika na tangazo hilo ipo tayari kuzungumza naye.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamko hilo kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
TIBA MBADALA: Kunywa maji ya moto ni tiba ya magonjwa mengi
10 years ago
Dewji Blog10 May
CHAWAMAMU yapiga marufuku waganga wa tiba mbadala kuwafanyia tohara watoto wachanga
Afisa tarafa wa Kirumi, Bw. Juma Salumu Sima (kushoto), Katibu mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida,Dk.Tano Mika Likapakapa (katikati) na Afisa mtendaji wa kata ya Mwangeza (kulia).
Na. Jumbe Ismailly, Mkalama
CHAMA cha Watafiti wa Maleria Sugu, Ukimwi na Mazingira Tanzania (CHAWAMAMU) Mkoani Singida kimepiga marufuku waganga wa tiba mbadala wasiokuwa na ujuzi wa kuwafanyia tohara pamoja na kuwakata kilimi watoto wachanga, kuacha mara moja kuendelea na kazi hiyo.
Katibu mkuu wa...