Serikali yapiga marufuku matangazo yanayohusu Tiba asili
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Waziri Wa Afya Hamis Kigwangala.
Taarifa kutoka Wizara ya Afya kuanzia tarehe 24 Desemba 2015 imepiga marufuku matangazo yote yanayohusu tiba asili na tiba mbadala kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Wale wote wenye vibali wanatakiwa kuviwasilisha vibali na matangazo yao kwenye Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala ili vifanyiwe mapitio.
Utoaji wa elimu ya afya kwa umma unaofanywa na...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi24 Dec
10 years ago
GPLBARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Tanzania:Matangazo tiba asili marufuku
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Serikali yasitisha vibali vya matangazo ya tiba asili
10 years ago
Dewji Blog10 May
CHAWAMAMU yapiga marufuku waganga wa tiba mbadala kuwafanyia tohara watoto wachanga
Afisa tarafa wa Kirumi, Bw. Juma Salumu Sima (kushoto), Katibu mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida,Dk.Tano Mika Likapakapa (katikati) na Afisa mtendaji wa kata ya Mwangeza (kulia).
Na. Jumbe Ismailly, Mkalama
CHAMA cha Watafiti wa Maleria Sugu, Ukimwi na Mazingira Tanzania (CHAWAMAMU) Mkoani Singida kimepiga marufuku waganga wa tiba mbadala wasiokuwa na ujuzi wa kuwafanyia tohara pamoja na kuwakata kilimi watoto wachanga, kuacha mara moja kuendelea na kazi hiyo.
Katibu mkuu wa...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Serikali yashtukia vifaa tiba asili, mbadala
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FGLkIUJRvFA/VR1JIkgOZuI/AAAAAAAHO8o/cmsKCz4CWm4/s72-c/DSC_0573.jpg)
SERIKALI KUWEKEZA KATIKA UTAFITI WA TIBA ASILI
![](http://2.bp.blogspot.com/-FGLkIUJRvFA/VR1JIkgOZuI/AAAAAAAHO8o/cmsKCz4CWm4/s1600/DSC_0573.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-euExRBtg0hI/VR1JIjBW85I/AAAAAAAHO80/tnS3uc2D1lA/s1600/DSC_0538.jpg)
9 years ago
StarTV29 Dec
Serikali yapiga marufuku uuzaji matunda yaliyokatwa
Serikali imetoa tahadhari ya ugonjwa wa kipindupindu kuendelea kuwa tishio kwa baadhi ya mikoa nchini tangu ugonjwa huo uliporipotiwa Agosti 15 mwaka huu.
Tahadhari hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alipozungumza Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema kusambaa kwa ugonjwa wa Kipindupindu nchini kunaendelea kwa kasi tangu iliporipotiwa kwa mara ya kwanza mwaka huu Agosti 15,...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Bls9HfSxa-8/XuXWhjuGmmI/AAAAAAACNPo/_MYdLsHV_hgBouO8OKInq2nW-stUMWEzACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200614_104719.jpg)
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UPIGAJI RAMLI CHONGANISHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bls9HfSxa-8/XuXWhjuGmmI/AAAAAAACNPo/_MYdLsHV_hgBouO8OKInq2nW-stUMWEzACLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200614_104719.jpg)
DODOMA, Tanzania
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ramli chonganishi kwa lengo la kuwasaidia wananchi jambo ambalo ni kinyume...