Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGANGA WA TIBA ASILI/MBADALA FUATENI SHERIA-DKT. CHAULA










Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akiongea na waandishi wa habari


Wanafunzi wa sekondari walioshiriki kongamano la wajasiriamali na upimaji wa afya
Watoto wakimsikiliza Katibu Mkuu(hayupo pichani)

……………………………………..

Na.Catherine Sungura, Chato

Waganja wa Tiba asili na tiba mbadala wote nchini, wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata Sheria, kanuni, taratibu zilizowekwa na Serikali .

Hayo yamesemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

9 years ago

Habarileo

Waganga tiba asili waagizwa kujisajili

BARAZA la tiba asili na tiba mbadala limetakiwa kuhakikisha waganga wote wanaotoa huduma kwa wateja wanasajiliwa ili kuepuka udanganyifu.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yashtukia vifaa tiba asili, mbadala

Serikali imesema ina taarifa za kuingizwa kwa mashine za kuchukulia vipimo bila ya kusajiliwa na kusisitiza kuwa itaweka bayana msimamo wake baada ya siku 14 ilizotoa kwa matabibu wa tiba mbadala kuwasilisha taarifa za huduma zao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakunga na waganga wa tiba mbadala wajitangaza kuacha kabisa kazi hizo

SAM_0091

Bi Zaibabu Juma mkazi wa Kijiji cha Iguguno.

SAM_0092

Bi Amina Selemani wote ni wakazi wa Kijiji cha Tumuli waliotangaza rasmi kuachana na huduma za kuwasaidia wanawake wajawazito kutokana na uzee pamoja na maradhi ya kifua.

SAM_0088

Mganga wa tiba mbadala, Bwana Gervasi Dule, mkazi wa Kijiji cha Senene.

SAM_0096

Wakunga wa jadi,Bi Fatuma Omari (wa kwanza kutoka kulia) na Bi Tatu Hassani(wa pili kutoka kulia) waliotangaza kuacha kutoa huduma za ukunga wa jadi kwa akina mama wajawazito kutokana na umri kuwa mkubwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI WAPATA MAFUNZO KUJIKINGA NA CORONA

Mratibu wa Tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole akiongea jana na waganga wa Tiba asili na tiba mbadala wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kutambua dalili na kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati wote wa shughuli zao kama moja ya makundi maalum yanayoaminika katika jamii.


Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Mohamed Nandule akiongea na waganga wa tiba asili na tiba mbadala kutoka kata ya Mbesa wilayani...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHAWAMAMU yapiga marufuku waganga wa tiba mbadala kuwafanyia tohara watoto wachanga

SAM_2223

Afisa tarafa wa Kirumi, Bw. Juma Salumu Sima (kushoto), Katibu mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida,Dk.Tano Mika Likapakapa (katikati) na Afisa mtendaji wa kata ya Mwangeza (kulia).

Na. Jumbe Ismailly, Mkalama      

CHAMA cha Watafiti wa Maleria Sugu, Ukimwi na Mazingira Tanzania (CHAWAMAMU) Mkoani Singida kimepiga marufuku waganga wa tiba mbadala wasiokuwa na ujuzi  wa kuwafanyia tohara pamoja na kuwakata kilimi watoto wachanga, kuacha mara moja kuendelea na kazi hiyo.

Katibu mkuu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Singida yawaonya Waganga wa tiba mbadala kutofanya mapenzi na wateja wao wanaowahudimia

SAM_2074Maafisa watendaji wa vijiji,kata,Wenyeviti wa vitongoji pamoja na wenyeviti wa vijiji waliohudhuria kwenye semina elekezi juu ya operesheni tokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi(albini) na vikongwe iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kituo cha walimu Ndago.

Na Jumbe Ismailly, Singida

Waganga wa tiba mbadala wilayani Iramba, Mkoani Singida wameshauriwa kutofanya mapenzi na wateja wao wanaoshindwa kulipa gharama za matibabu waliyowapatia na badala yake wafuate sheria, kanuni na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya afya yafuta vibali vilivyotolewa na maafisa utamaduni kwa waganga wa tiba mbadala

SAM_2042

Mkuu wa kituo kidogo cha polisi Ndago, Bw.Richard Kimolo (kushoto), Diwani wa kata ya Mbelekese, Bi Monica Samweli (wa pili kutoka kushoto), Katibu mkuu CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Dk.Tano Mika Likapakapa wakiwa kwenye semina ya operesheni tomomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) na vikongwe inayoendelea tarafa ya Ndago, wilayani Iramba.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

Na Mwandishi wetu, Iramba        

WIZARA ya Afya na Ustawi wa jamii imefuta vibali vyote vilivyotolewa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani