Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YASEMA TAMKO LAKE LA TIBA ASILI NA MBADALA LIKO PALEPALE

Na Magreth  Kinabo- MAELEZO
Serikali imesema kwamba tamko lake lilitolewa hivi karibuni kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala palepale kwa kuwa lengo lake ni kuboresha huduma hiyo. Hivyo kama  kuna mtoa huduma ambaye amekwazika na tangazo hilo ipo tayari kuzungumza naye.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamko hilo kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Serikali yashtukia vifaa tiba asili, mbadala

Serikali imesema ina taarifa za kuingizwa kwa mashine za kuchukulia vipimo bila ya kusajiliwa na kusisitiza kuwa itaweka bayana msimamo wake baada ya siku 14 ilizotoa kwa matabibu wa tiba mbadala kuwasilisha taarifa za huduma zao.

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

5 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI/MBADALA FUATENI SHERIA-DKT. CHAULA










Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akiongea na waandishi wa habari


Wanafunzi wa sekondari walioshiriki kongamano la wajasiriamali na upimaji wa afya
Watoto wakimsikiliza Katibu Mkuu(hayupo pichani)

……………………………………..

Na.Catherine Sungura, Chato

Waganja wa Tiba asili na tiba mbadala wote nchini, wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata Sheria, kanuni, taratibu zilizowekwa na Serikali .

Hayo yamesemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yashikilia msimamo tiba mbadala

TAMKO la Serikali kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala, limesisitizwa kwamba liko palepale kwa kuwa lengo ni kuboresha huduma hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu: Serikali iondoe kodi vifaa tiba mbadala

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema kuna haja kwa Serikali kungalia namna ya kuondoa ushuru katika vifaa vinavyoingia nchini kwa ajili ya masuala ya tiba mbadala, kwani wanaonufaika...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUWEKEZA KATIKA UTAFITI WA TIBA ASILI

Mkurugenzi wa Tasisi ya Utafiti ya Ifakara,Salim Abdullah akisaini makubaliano ya kuendeleza utafiti  tasisi hiyo kulia ni Mkuu wa Taasisi ya Kinga na wa China,Dk.Ning Xiao  katika hafla iliypfanyika leo jijin Dar es Salaam.(Picha Emmanuel Massaka). WAZIRI wa Afya  na Ustawi wa Jamii,Dk.Seif Rashid akizungumza hafla ya makubaliano na Serikali ya watu wa China ( Kulia),Naibu Waziri  na Kamisheni ya Taifa ya Afya na Uzazi wa Mpango,na  Usimamizi wa Tiba Asili iliyofanyika leo jijini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yasitisha vibali vya matangazo ya tiba asili

Serikali imesitisha vibali vya kurusha matangazo ya tiba za asili na mbadala kwenye vyombo vyote vya habari baada ya kubaini kuwa yanapotosha jamii.

 

9 years ago

Global Publishers

Serikali yapiga marufuku matangazo yanayohusu Tiba asili

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Waziri Wa Afya Hamis Kigwangala.
Taarifa kutoka Wizara ya Afya kuanzia tarehe 24 Desemba 2015 imepiga marufuku matangazo yote yanayohusu tiba asili na tiba mbadala kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Wale wote wenye vibali wanatakiwa kuviwasilisha vibali na matangazo yao kwenye Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala ili vifanyiwe mapitio. Utoaji wa elimu ya afya kwa umma unaofanywa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani