Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yashikilia msimamo tiba mbadala

TAMKO la Serikali kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala, limesisitizwa kwamba liko palepale kwa kuwa lengo ni kuboresha huduma hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Serikali yashtukia vifaa tiba asili, mbadala

Serikali imesema ina taarifa za kuingizwa kwa mashine za kuchukulia vipimo bila ya kusajiliwa na kusisitiza kuwa itaweka bayana msimamo wake baada ya siku 14 ilizotoa kwa matabibu wa tiba mbadala kuwasilisha taarifa za huduma zao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu: Serikali iondoe kodi vifaa tiba mbadala

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema kuna haja kwa Serikali kungalia namna ya kuondoa ushuru katika vifaa vinavyoingia nchini kwa ajili ya masuala ya tiba mbadala, kwani wanaonufaika...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YASEMA TAMKO LAKE LA TIBA ASILI NA MBADALA LIKO PALEPALE

Na Magreth  Kinabo- MAELEZO
Serikali imesema kwamba tamko lake lilitolewa hivi karibuni kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala palepale kwa kuwa lengo lake ni kuboresha huduma hiyo. Hivyo kama  kuna mtoa huduma ambaye amekwazika na tangazo hilo ipo tayari kuzungumza naye.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamko hilo kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar...

 

10 years ago

Habarileo

ACT yashikilia msimamo wake

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT, Samson Mwigamba akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu msimamo wa chama chao wa kutowarudisha kwenye nafasi zao za uongozi wanachama watatu waliosimamishwa kushika nyadhifa hizo. Kulia ni Katibu wa Mawasiliano na Uenezi wa chama hicho, Msafiri Mtemelwa, Ofisa Uchaguzi na Mipango, Abdulwakil Rushaka na Ofisa Utawala, Emmanuel Kitundy. (Picha na Fadhili Akida).CHAMA cha Alliance for Change and Trasparency (ACT – Tanzania) kimesema kuwa hakiko tayari kuwarudisha madarakani viongozi waliowavua nyadhifa zao, japokuwa msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewaagiza wafanye hivyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waganga wa tiba mbadala Singida wanaotumia nyara za Serikali kupigia ramli chonganishi watakiwa kuzisalimisha Polisi

SAM_2030

Katibu Mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Dk.Tano Mika Likapakapa (wa kwanza kulia)Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Lunsanga,Bw.Richard Kisiwa (katikati) na Mkuu wa Kituo kidogo cha polisi Ndago, Bw.Richard Kimolo. SAM_2029 Afisa kilimo wa kata ya Ndago, Bi Perpetua Pius (kushoto) na Mratibu wa Tiba Asilia kutoka Hospitali ya wilaya ya Iramba,Bi Roda Yona(kulia). SAM_2027 Waganga wa tiba mbadala waliovaa mavazi wanayotumia wakati wa shughuli zao. SAM_2024  Maafisa watendaji wa vijiji na wenyeviti wa...

 

11 years ago

Mwananchi

TIBA MBADALA: Kunywa maji ya moto ni tiba ya magonjwa mengi

>Kuna tiba nyingi za kitabibu, zilizogawanyikaa katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza kuziandaa bila kutumia gharama kubwa.

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Utajiri wa hatari tiba mbadala

Ni kutengeneza utajiri kirahisi, lakini kuhatarisha maisha ya watu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani