ACT yashikilia msimamo wake
CHAMA cha Alliance for Change and Trasparency (ACT – Tanzania) kimesema kuwa hakiko tayari kuwarudisha madarakani viongozi waliowavua nyadhifa zao, japokuwa msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewaagiza wafanye hivyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Dec
Serikali yashikilia msimamo tiba mbadala
TAMKO la Serikali kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala, limesisitizwa kwamba liko palepale kwa kuwa lengo ni kuboresha huduma hiyo.
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Urusi yatetea msimamo wake
Vladmir Putni ametetea uamuzi wa Urusi wa kuingilia kijeshi nchini Syria akisema hatua hiyo itasaidia kuleta mazingira ya kurejesha suluhisho la kisiasa nchini humo.
10 years ago
Mwananchi12 Aug
NYANZA: Mgeja kuzungumzia msimamo wake kisiasa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, Khamis Mgeja amesema bado hajaamua kuhama chama hicho au atabaki.
9 years ago
Bongo502 Sep
Joh Makini aeleza msimamo wake kisiasa
Joh Makini amewataka wananchi na mashabiki kuwachukulia kawaida wasanii walioonesha itikadi zao za vyama vya siasa kwakuwa ni haki yao ya msingi kama watu wengine. Akizungumza na Planet Bongo leo, Joh Makini alisema yeye ameamua kukaa pembeni kama mwananchi wa kawaida. “Katika siasa mimi nasimama kama mwananchi wa kawaida,” alisema. “Unajua kila mtu ana haki […]
9 years ago
Michuzi![](http://lh3.googleusercontent.com/-ERqmxo38YMQ/VexLqnijYII/AAAAAAAAxNw/YK6kDb7h64c/s72-c/1441549221074.jpeg)
JUMA NATURE AELEZEA MSIMAMO WAKE WA KUFANYA KAMPENI
![](http://lh3.googleusercontent.com/-ERqmxo38YMQ/VexLqnijYII/AAAAAAAAxNw/YK6kDb7h64c/s640/1441549221074.jpeg)
Nature amesema kuwa mziki ambao anaufanya ni...
5 years ago
BBCSwahili13 Jun
Je,Trump yuko mashakani kwa msimamo wake kuhusu ubaguzi wa rangi?
Je changamoto hizi za maandamano dhidi ya ubaguzi zina uwezekano wa kumfanya Trump kuwa na nafasi ndogo kuchaguliwa tena?
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Coronavirus: Kenya yabadili msimamo wake wa kuwarudisha nyumbani wanafunzi waliopo Wuhan China
Serikali ya Kenya imesema kwamba haitawarudisha nyumbani wanafunzi 75 wa Kenya walio mjini Wuhan China kufuatia mlipuko wa virusi vya Corona
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k2NcSvwfzUQ/XrEbYFtC7jI/AAAAAAALpLc/RiqFvNh4OhcpnF1cITliB1aXbCYw7jlmACLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot%2B2020-05-05%2Bat%2B9.55.49%2BAM.png)
RAIS MAGUFULI AWA GUMZO KILA PEMBE YA DUNIA, MSIMAMO WAKE KUHUSU CORONA WAKUNA WENGI
Na Sultani Kipingo wa Michuzi TVRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa gumzo kubwa sana duniani kwa siku kadhaa sasa toka aongee mjini Chato wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Mhe. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Augustine Mahiga aliyefariki Ijumaa iliyopita.Vyombo vya habari vyote vikubwa duniani, kama vile televisheni za CNN, Al Jazeera, Sky News, BBC, CBS, DW, VOA pamoja na magazeti ya New York...
9 years ago
VijimamboESHI LA POLISI MKOANI MWANZA LATOA MSIMAMO WAKE JUU YA SUALA LA MITA 200 BAADA YA KUPIGA KURA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania