Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMA NATURE AELEZEA MSIMAMO WAKE WA KUFANYA KAMPENI

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature leo alikua akiongea na Waandishi wa Habari juu ya Ufanyaji kazi wake katika kipindi hiki cha kampeni Ambapo aliongozana na Mgombea Ubunge jimbo la Mbagala ambaye ni rafiki mkubwa na jirani wa msanii huyo Ndg Issa Mangungu. Juma nature kwa sasa amerudi kufanya kampeni na chama cha mapinduzi CCM na ameamua kuelezea nia ya kurudi CCM baada ya mashabiki kumuona katika Majukwaa mengine ya vyama vya kisiasa. 
 Nature amesema kuwa mziki ambao anaufanya ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Kampeni yawakutanisha Juma Nature, Rich One

Rich & NatureNA MWANDISHI WETU

WASANII Juma Nature na Rich One waliowahi kuwika katika kundi la TMK Wanaume Halisi na kisha kutengana wamejikuta wakiimba pamoja katika kampeni za kumnadi mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.

Juzi wasanii hao walipanda katika jukwaa la Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi na kuimba pamoja nyimbo mbalimbali walizowahi kushiriki wakiwa katika kundi lao la pamoja huku mashabiki wao wengi...

 

10 years ago

CloudsFM

WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO

Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kituo cha redio cha Efm chamkumbuka mwanamuziki Juma Nature kwa mchango wake katika muziki nchini

Mkuu wa Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha lijulikalo kama Komaa Concert  litalofanyika mwishoni mwa mwezi mei  kwa ajili ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya msanii Juma Nature ‘maarufu Kiroboto’ namna ya kuonesha kuthamini mchango wake katika muziki wa bongo fleva na kuwakumbusha watanzania juu ya safari ya muziki wa Tanzania kwa ujumla. Kulia ni mwanamuziki huyo, Juma Nature...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mtanzania

Juma Nature: Nitagombea ubunge 2020

maxresdefaultNA FESTO POLEA

KIONGOZI wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature, amesema matarajio yake ya kugombea ubunge yatatimia mwaka 2020 atakapogombea rasmi katika jimbo mojawapo nchini.

Nature aliwahi kutangaza nia ya kugombea ubunge kwa mwaka huu lakini hakutekeleza hilo badala yake akawa mpiga kampeni wa wasanii wenzake na viongozi mbalimbali waliokuwa wakigombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Mwaka huu nilikuwa najifunza mambo mengi kupitia viongozi waliokuwa wakigombea...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Mwananchi

Juma Nature awaasa waliotangaza nia

Msanii Juma Nature, ametoa rai kwa wasanii waliotangaza nia kuwania viti mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao, akiwataka kusimama kwenye misingi ya kusaidia jamii badala na si vinginevyo.

 

9 years ago

Bongo Movies

Nataka Niache Kula Monde-Juma Nature

Msanii mkongwe katika tasnia ya bongo fleva Juma Kassim Nature (Kiroboto) amefunguka na kusema ameachana na mambo mengi ya ajabu ajabu na starehe na kusema anataka kuachana na mambo hayo kwani uhuni ataki tena.

Juma Nature

Juma Nature

Juma Nature akipiga stori katika kipindi cha Planet Bongo ya EATV alisema ameweza kuachana na mambo mengi ambayo kwa jamii yanaonekana ni mambo ya kihuni lakini mpaka sasa bado hajafanikiwa kuacha monde (Pombe).

“Unajua kwa sasa nimeachana na mambo mengi yale ya kihuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani