Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urusi yatetea msimamo wake

Vladmir Putni ametetea uamuzi wa Urusi wa kuingilia kijeshi nchini Syria akisema hatua hiyo itasaidia kuleta mazingira ya kurejesha suluhisho la kisiasa nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI CCM TAWI LA MOSCOW URUSI ATOA MSIMAMO WAKE JUU YA MCHAKATO WA KATIBA, ASEMA SERIKALI MBILI NDIO SULUHISHO

MWENYEKITI TAWI LA CCM MOSCOW URUSI, NDG SALIM MFUNGAHEMA: 
 Mwenyekiti tawi la CCM Moscow Ndg Mfungahema Salim amesema muundo wa muungano wa serikali Mbili ndio suluhisho pekee la watanzania, Akizungumza katika kikao cha kamati ya siasa ya tawi kilichofanyika 05.06.2014, bwana Mfungahema alisema muungano wa serikali mbili ndio umetufikisha hapa tulipo na kuna mafanikio makubwa TULIYOYAPATA, pamoja na changamoto chache zinazojitokeza lakini zinarekebishika.
 Bwana Mfungahema aliwataka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yatetea hatua ya kijeshi Ukraine

Urusi imeliambia Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kwamba hatua yake ya kijeshi nchini Ukraine ni kulinda raia.

 

11 years ago

Habarileo

TMA yatetea utabiri wake

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema asilimia 87 ya utabiri wa hali ya hewa, uliotolewa mwaka jana, ulikuwa sahihi. Aidha, imeeleza kuwa ili kuweza kuwafikia watu zaidi mamlaka hiyo, inatarajia kuanzia kituo cha Redio, ambacho kitatoa utabiri pekee.

 

10 years ago

Habarileo

ACT yashikilia msimamo wake

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT, Samson Mwigamba akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu msimamo wa chama chao wa kutowarudisha kwenye nafasi zao za uongozi wanachama watatu waliosimamishwa kushika nyadhifa hizo. Kulia ni Katibu wa Mawasiliano na Uenezi wa chama hicho, Msafiri Mtemelwa, Ofisa Uchaguzi na Mipango, Abdulwakil Rushaka na Ofisa Utawala, Emmanuel Kitundy. (Picha na Fadhili Akida).CHAMA cha Alliance for Change and Trasparency (ACT – Tanzania) kimesema kuwa hakiko tayari kuwarudisha madarakani viongozi waliowavua nyadhifa zao, japokuwa msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewaagiza wafanye hivyo.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Mgeja kuzungumzia msimamo wake kisiasa

Mwenyekiti wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, Khamis Mgeja amesema bado hajaamua kuhama chama hicho au atabaki.

 

9 years ago

Bongo5

Joh Makini aeleza msimamo wake kisiasa

Joh Makini amewataka wananchi na mashabiki kuwachukulia kawaida wasanii walioonesha itikadi zao za vyama vya siasa kwakuwa ni haki yao ya msingi kama watu wengine. Akizungumza na Planet Bongo leo, Joh Makini alisema yeye ameamua kukaa pembeni kama mwananchi wa kawaida. “Katika siasa mimi nasimama kama mwananchi wa kawaida,” alisema. “Unajua kila mtu ana haki […]

 

9 years ago

Michuzi

JUMA NATURE AELEZEA MSIMAMO WAKE WA KUFANYA KAMPENI

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature leo alikua akiongea na Waandishi wa Habari juu ya Ufanyaji kazi wake katika kipindi hiki cha kampeni Ambapo aliongozana na Mgombea Ubunge jimbo la Mbagala ambaye ni rafiki mkubwa na jirani wa msanii huyo Ndg Issa Mangungu. Juma nature kwa sasa amerudi kufanya kampeni na chama cha mapinduzi CCM na ameamua kuelezea nia ya kurudi CCM baada ya mashabiki kumuona katika Majukwaa mengine ya vyama vya kisiasa. 
 Nature amesema kuwa mziki ambao anaufanya ni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je,Trump yuko mashakani kwa msimamo wake kuhusu ubaguzi wa rangi?

Je changamoto hizi za maandamano dhidi ya ubaguzi zina uwezekano wa kumfanya Trump kuwa na nafasi ndogo kuchaguliwa tena?

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yabadili msimamo wake wa kuwarudisha nyumbani wanafunzi waliopo Wuhan China

Serikali ya Kenya imesema kwamba haitawarudisha nyumbani wanafunzi 75 wa Kenya walio mjini Wuhan China kufuatia mlipuko wa virusi vya Corona

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani