Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urusi yatetea hatua ya kijeshi Ukraine

Urusi imeliambia Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kwamba hatua yake ya kijeshi nchini Ukraine ni kulinda raia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yatetea msimamo wake

Vladmir Putni ametetea uamuzi wa Urusi wa kuingilia kijeshi nchini Syria akisema hatua hiyo itasaidia kuleta mazingira ya kurejesha suluhisho la kisiasa nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine yajizatiti kijeshi

Ukraine imeagiza kuimarisha vikosi vyake katika kukabiliana na Urusi katika jimbo la Ukraine la Crimea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yaanzisha mazoezi ya Kijeshi

Urusi imeanza mazoezi makali ya kivita yanayojumuisha kikosi cha anga cha wanajeshi 150

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya kijeshi ya Ukraine yadunguliwa

Waziri wa Ulinzi nchini Ukraine amesema kuwa mojawapo ya ndege zake za kijeshi za kubeba mizigo imedunguliwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

NATO yaishutumu Urusi kutishia kijeshi

Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi umeishutumu Urusi kwa vitisho vya kijeshi kwa kuimarisha silaha zake za nyuklia

 

5 years ago

BBCSwahili

Kim Jong-un 'aahirisha hatua za kijeshi' Korea Kusini

Hatua hiyo inakuja siku kadhaa baada ya Pyongyang kutishia kuwapeleka wanajeshi wake mpakani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukraine na Urusi zafanya mazungumzo

Marais wa Urusi na Ukraine wamekuwa na mazungumzo ya kwanza ya moja kwa moja kuhusu mgogoro wa Ukraine,

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi:hatutaki vita na Ukraine

Urusi imesema haina mpango wa kuingia vitani na Ukraine,hata hivyo inaunga mkono mpango wa upigaji kura ya maoni mjini Crimea

 

11 years ago

BBCSwahili

G7 yailaani Urusi kuihusu Ukraine

Kundi la mataifa ya G7 laitaka Urusi kushughulikia wasiwasi wake kuihusu Ukraine kwa njia ya mazungumzo au kupitia mpatanishi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani