NATO yaishutumu Urusi kutishia kijeshi
Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi umeishutumu Urusi kwa vitisho vya kijeshi kwa kuimarisha silaha zake za nyuklia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Marekani yaishutumu Urusi
Marekani imeishutumu Urusi kuwa ilivunja makubaliano ya mwaka 1987 kwa kufanya majaribio ya makombora ya nyukilia.
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Kikao cha Nato chatuhumu Urusi
Viongozi wa nchi za Magharibi wameishutumu Urusi kwa "ushawishi" wake katika mgogoro wa Ukraine, mwanzoni mwa mkutano wa Nato
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Nato yasikitishwa Urusi kuisaidia Syria
Nato imesikitishwa kuhusu taarifa kuwa Urusi ina mpango kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Syria.wa kuhusu taarifa kuwa Urusi ina mpango kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Syria.
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Mawaziri wa Nato wakutana kujadili Urusi
Mawaziri wa ulinzi wa mataifa ya Nato wanakutana leo kujadili mashambulio yanayotekelezwa na Urusi nchini Syria.
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
NATO yaonyesha picha za askari wa Urusi
Nato yaonyesha picha za majeshi ya Urusi ndani ya Ukraine ili kuwasaidia waasi
10 years ago
BBCSwahili26 May
Urusi yaanzisha mazoezi ya Kijeshi
Urusi imeanza mazoezi makali ya kivita yanayojumuisha kikosi cha anga cha wanajeshi 150
11 years ago
BBCSwahili04 Mar
Urusi yatetea hatua ya kijeshi Ukraine
Urusi imeliambia Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kwamba hatua yake ya kijeshi nchini Ukraine ni kulinda raia.
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
TAHLISO yaishutumu serikali kuhusu elimu
JUMUIYA ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), imeitupia shutuma serikali kwa madai imekuwa ikitengeneza kizazi chenye elimu dhaifu. Shutuma hizo zilitolewa jijini Mwanza juzi na Mwenyekiti...
10 years ago
Bongo503 Dec
Korea Kaskazini yaishutumu US kusambaza Ebola na kutumia Afrika kama sehemu ya kujaribia silaha hiyo ya Kibailojia
Koreas Kaskazini imeishutumu Marekani kwa kusambaza makusudi virusi vya ugonjwa wa Ebola na kwamba inatengeneza silaha hiyo ya kibailojia ili kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani. Taifa hilo limelazimika kufunga mipaka yake kuzuia watalii ikiwa ni pamoja na kumtenga kila anayeingia. Ripoti ya Korean Central News Agency (KCNA) inadai kuwa aliyekuwa msaidizi wa Rais wa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania