Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikao cha Nato chatuhumu Urusi

Viongozi wa nchi za Magharibi wameishutumu Urusi kwa "ushawishi" wake katika mgogoro wa Ukraine, mwanzoni mwa mkutano wa Nato

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

NATO yaonyesha picha za askari wa Urusi

Nato yaonyesha picha za majeshi ya Urusi ndani ya Ukraine ili kuwasaidia waasi

 

10 years ago

BBCSwahili

NATO yaishutumu Urusi kutishia kijeshi

Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi umeishutumu Urusi kwa vitisho vya kijeshi kwa kuimarisha silaha zake za nyuklia

 

9 years ago

BBCSwahili

Mawaziri wa Nato wakutana kujadili Urusi

Mawaziri wa ulinzi wa mataifa ya Nato wanakutana leo kujadili mashambulio yanayotekelezwa na Urusi nchini Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Nato yasikitishwa Urusi kuisaidia Syria

Nato imesikitishwa kuhusu taarifa kuwa Urusi ina mpango kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Syria.wa kuhusu taarifa kuwa Urusi ina mpango kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Syria.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu (aliyesimama) akitoa utambulisho kwa wajumbe wapya wa Bodi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza rasmi kutekelezwa katika eneo la Magereza, Gereza Kigongoni Bagamoyo .Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu akitoa maelezo mafupi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA KIWANDA CHA CHAI CHA LUPONDE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na   Ali Juma Mkangala ,mmoja washiriki wa Mkutano wa Kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponda kilichopo Bumbuli Tanga. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi  ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Septemba  13, 2014.Mbunge wa Mlalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Hassan Ngwilizi (kushoto) na Mbunge wa  Bumbuli , Januari Makamba (kulia) wakiteta na Waziri wa Kilimo , Chakula na Ushiriki Mhandisi Christopher  Chiza katika mkutano wa kutatua mgogoro wa kiwanda...

 

9 years ago

Michuzi

KIKAO CHA PILI CHA BARAZA LA BIASHARA KATI YA OMAN NA TANZANIA

 KIKAO CHA JBC KIKIENDELEA KATI YA WAJUMBE WA TANZANIANA OMAN KATIKA MAKAO MAKUU YA OMAN CHAMBER OF COMMERCE KUTOKA KULIA WAPILI NI MWENYEKITI MWENZA-OMAN SK SAUD RAWAHI ,WATATU MWENYEKITI MWENZA TANZANIA ND. MAEMBE AKIFUATIA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN MHESHIMIWA ALI AHMED SALEH

 KIKAO KIKIENDELEA

 PICHA YA PAMOJA BAADA YA KIKAO

 UJUMBE WA TANZANIA PIA ULIPATA FURSA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO MAALUM YA FURSA ZA BIASHARA NCHINI OMAN.

UJUMBE WA TANZANIA UKITEMBELEA ENEO LA VIWANDA NA BANDARI...

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa aitisha kikao cha kazi cha Baraza la Mawaziri

IMGS5561

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mawaziri na Naibu Mawaziri  katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS5562

IMGS5555

IMGS5554

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015. (Picha na Ofisi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani