Marekani yaishutumu Urusi
Marekani imeishutumu Urusi kuwa ilivunja makubaliano ya mwaka 1987 kwa kufanya majaribio ya makombora ya nyukilia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
NATO yaishutumu Urusi kutishia kijeshi
Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi umeishutumu Urusi kwa vitisho vya kijeshi kwa kuimarisha silaha zake za nyuklia
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Onyo la Marekani kwa Urusi
Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden ameonya Urusi kuwa ikiendelea kuchochea hali nchini Ukraine, itatengwa na jamii ya kimataifa
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Marekani na Urusi kukutana Geneva
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry na mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wanatarajiwa kufanya mazungumzo
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
Marekani yazikosoa sera za Urusi
Waziri wa ulinzi wa Marekani,Ashton Carter, amezikosoa sera za Urusi kwa kutoheshimu sheria za kimataifa.
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Majibizano kati ya Marekani na Urusi UN
Majibizano makali yazuka katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baina ya mabalozi wa Marekani na Urusi .
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Marekani yasusia mazungumzo na Urusi
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani,John Kerry hatakutana na Rais Vladmir Putin wa Urusi, mpaka atakaporidhia mapendekezo
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Marekani yaonya Urusi kuhusu vikwazo
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameitaka Urusi kupunguza ukali wa matamshi yake la sivyo iwekewe vikwazo zaidi.
11 years ago
BBCSwahili13 Apr
Marekani yaionya Urusi kuhusu Ukraine.
Marekani imeonyesha wasiwasi wake kuhusu kile ilichokitaja kama hatua ya Urusi kuchochea ghasia mashariki mwa Ukrain.
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Urusi yapuuza vitisho vya Marekani
Vita ya maneno kati ya Urusi na nchi za Magharibi inaendelea kuchukua sura mpya baada ya Urusi kusema wazi wazi kwamba haibabaishwi na vitisho vya Marekani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania