Onyo la Marekani kwa Urusi
Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden ameonya Urusi kuwa ikiendelea kuchochea hali nchini Ukraine, itatengwa na jamii ya kimataifa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Urusi yatoa onyo kali kwa Ukraine
Urusi imeionya Ukraine kuancha maandalizi yoyote ya kijesh katika majimbo yanayotaka kujitenga
10 years ago
GPLKIJANA ALIYEJIUNGA NA IS ATOA ONYO KWA MAREKANI
Baadhi ya watu wanaounga mkono wapiganaji wa IS nchini Iraq na Syria. Kijana raia wa Australia, Abdullah Elmir 'Abu Khaled' aliyejiunga na kundi la wapiganaji wa IS wanaopigana nchini Iraq na Syria ameonekana kwenye kanda ya video. Katika kanda hiyo kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 anawahutubia waziri mkuu wa Australia Tony Abbot pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama.… ...
10 years ago
GPLWAPIGANAJI WA ISIS WATOA ONYO LINGINE KWA MAREKANI
Mateka 15 wa Kikurd wanaoshikiliwa na wapiganaji wa ISIS. SAA chache baada ya kuuwa wanajeshi 300 wa Syria, Kundi la wapiganaji wa ISIS limetoa onyo lingine kwa Marekani likiachia video inayowaonyesha mateka 15 wa Kikurd ambao nao watauawa iwapo Marekani haitaondoa majeshi yake. ISIS wamesema wataendelea kuwachinja mateka hao mpaka Marekani itakapoondoa majeshi yake. Katika video hiyo, Kundi la ISIS linaonekana… ...
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Urusi yalipiza kisasi kwa Marekani na Ulaya
Urusi imetangaza marufuku ya vyakula kutoka kwa Muungano wa Ulaya, Marekani na nchi zingine kadha za magharibi ambazo ziliiwkea vikwazo
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Marekani yaishambulia IS licha ya onyo
Majeshi ya Marekani wameendelea kuishambulia maeneo yanayokaliwa na kundi la Islamic State licha ya onyo
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Marekani yaishutumu Urusi
Marekani imeishutumu Urusi kuwa ilivunja makubaliano ya mwaka 1987 kwa kufanya majaribio ya makombora ya nyukilia.
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Marekani yasusia mazungumzo na Urusi
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani,John Kerry hatakutana na Rais Vladmir Putin wa Urusi, mpaka atakaporidhia mapendekezo
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
Marekani yazikosoa sera za Urusi
Waziri wa ulinzi wa Marekani,Ashton Carter, amezikosoa sera za Urusi kwa kutoheshimu sheria za kimataifa.
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Majibizano kati ya Marekani na Urusi UN
Majibizano makali yazuka katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baina ya mabalozi wa Marekani na Urusi .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania