Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAPIGANAJI WA ISIS WATOA ONYO LINGINE KWA MAREKANI

Mateka 15 wa Kikurd wanaoshikiliwa na wapiganaji wa ISIS. SAA chache baada ya kuuwa wanajeshi 300 wa Syria, Kundi la wapiganaji wa ISIS limetoa onyo lingine kwa Marekani likiachia video inayowaonyesha mateka 15 wa Kikurd ambao nao watauawa iwapo Marekani haitaondoa majeshi yake. ISIS wamesema wataendelea kuwachinja mateka hao mpaka Marekani itakapoondoa majeshi yake. Katika video hiyo, Kundi la ISIS linaonekana… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Misri yashambulia wapiganaji wa ISIS Libya

Taarifa kutoka Misri zasema kuwa, ndege za kijeshi zimewashambulia wapiganaji wa jihadi nchini Libya kwa mabomu, baada ya kutolewa kwa mkanda wa video ulioonyesha wakristo wa Misri wa madhehebu ya Coptic wakikatwa shingo.

Jeshi la Misri linasema kuwa limelenga kambi za Islamic State, kituo cha mafunzo na maghala ya silaha, katika shambulizi hilo la mapema leo alfajiri.

Walioshuhudia wanasema kuwa, mji wa Derna ulioko mashariki mwa Libya na ambao umetekwa na wapiganaji wa jihadi ndio...

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo la Marekani kwa Urusi

Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden ameonya Urusi kuwa ikiendelea kuchochea hali nchini Ukraine, itatengwa na jamii ya kimataifa

 

11 years ago

GPL

KIJANA ALIYEJIUNGA NA IS ATOA ONYO KWA MAREKANI

Baadhi ya watu wanaounga mkono wapiganaji wa IS nchini Iraq na Syria. Kijana  raia wa Australia, Abdullah Elmir 'Abu Khaled' aliyejiunga na kundi la wapiganaji wa IS wanaopigana nchini Iraq na Syria ameonekana kwenye kanda ya video. Katika kanda hiyo kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 anawahutubia waziri mkuu wa Australia Tony Abbot pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama.… ...

 

10 years ago

Africanjam.Com

BANGI YAHALALISHWA KWENYE JIMBO LINGINE MAREKANI

Habari zinasema kwamba Marekani kuna Majimbo kama Alaska, Colorado, Nevada na New York wao wamehalalisha matumizi ya Bangi na mtu anaruhusiwa kuwa nayo kwa kiasi kidogo tu.. Gavana wa Jimbo la Delaware Marekani, Jack Allan Markell kaingia kwenye Headlines leo baada ya kusaini Sheria inayoruhusu matumizi ya bangi.
Kwenye Sheria hiyo mtu wangu huruhusiwi tu kuvuta sehemu ya watu wengi, na kama ukikamatwa umekiuka kanuni hiyo fine yake imepunguzwa pia kutoka Dola 1,150 mpaka Dola 100 tu !!Jumla...

 

10 years ago

GPL

INASIKITISHA: ISIS WATOA VIDEO INAYOONYESHA MATEKA AKICHIMBA KABURI LAKE KABLA YA KUCHINJWA

Mateka Ziad Abdel’al Abu Tarek akijichimbia kaburi lake kabla ya kuchinjwa na Kundi la ISIS. VIDEO iliyotolewa na Kundi la Wapiganaji wa ISIS hivi karibuni inamuoyesha mateka anayedaiwa kuwa mpelelezi wa Syria akijichimbia kaburi lake kabla ya kuchinjwa na wapiganaji wa kundi hilo. Mateka huyo anaonekana akichimba kaburi lake akiwa amevaa mavazi ya njano kabla ya kuchinjwa katika maeneo ya jangwani.… ...

 

11 years ago

Michuzi

TRA NA JESHI LA POLISI WATOA ONYO


 Bw. Rished BADE, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akiongea na wanahabari. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kamishna wa Polisi, Afande Isaya Mngulu, na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA Bw. Richard Kayombo

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama atetea Marekani kushambulia ISIS

Rais Obama asema ni sawa ndege za Marekani kushambulia wapiganaji wa ISIS na mashambulio zaidi yatafanywa ikihitajika

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yawashambulia wapiganaji Iraq

Marekani imesema kuwa mashambulizi ya ndege zake zisizo na rubani yameharibu magari mawili ya wapiganaji nchini Iraq.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambulia wapiganaji wa Iraq

Ndege za kijeshi kutoka Marekani zimetekeleza mashambulizi tisa ya angani dhidi ya wanamgambo wa Islamic State kazkazini mwa Iraq

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani