Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJANA ALIYEJIUNGA NA IS ATOA ONYO KWA MAREKANI

Baadhi ya watu wanaounga mkono wapiganaji wa IS nchini Iraq na Syria. Kijana  raia wa Australia, Abdullah Elmir 'Abu Khaled' aliyejiunga na kundi la wapiganaji wa IS wanaopigana nchini Iraq na Syria ameonekana kwenye kanda ya video. Katika kanda hiyo kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 anawahutubia waziri mkuu wa Australia Tony Abbot pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kijana aliyejiunga na IS atoa onyo

Kijana mmoja raia wa Australia, aliyejiunga na kundi la wapiganaji wa IS ametoa onyo kwa Rais wa Marekani Barack Obama na waziri mkuu wa Australia

 

9 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

9 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza atoa onyo kwa wapinzani Burundi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ametoa ilani ya siku tano kwa wale aliowataja kuwa watenda mabaya kujisalimisha

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU ATOA ONYO KALI KWA WANAOKIKA SHERIA NA KUTOA MAELEKEZO KWA NEMC

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akiongea na wadau katika kikao cha kukuza uelewa wa Sheria na Utekelezaji wa Kanuni ya Katazo la Mifuko ya Plastiki kwa Wazalishaji, waingizaji, wasambazaji na wauzaji wa Mifuko mbadala ya Plastiki. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa LAPF, Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha (kushoto) Ni Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samwel Gwamaka, Bi. ...

 

9 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

9 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Afrika Kusini

Rais wa Marekani Barack Obama ameipa Afrika ya Kusini siku 60 kuondoa vikwazo katika bidhaa za kilimo kutoka Marekani la sivyo ataiondolea msamaha wa kodi wa bidhaa.

 

5 years ago

CCM Blog

GAMBO ATOA ONYO KWA WAONGOZA UTALII ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, ametoa onyo kali kwa waongoza utalii wanaofanya shughuli zao Mkoani Arusha baada ya kuhusishwa na usambazaji wa video na picha zinazoonesha uharibifu wa miundombinu katika mamlaka ya eneo la hifadhi ya Ngorongoro.

Tamko hilo kali limekuja baada ya Gambo kutembelea eneo hilo na kujionea uharibifu wa barabara uliofanywa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.

 “Ni marufuku kwa mtu yoyote kusambaza taarifa yoyote kuhusu hifadhi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo la Marekani kwa Urusi

Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden ameonya Urusi kuwa ikiendelea kuchochea hali nchini Ukraine, itatengwa na jamii ya kimataifa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani