Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama atoa onyo kali kwa Afrika Kusini

Rais wa Marekani Barack Obama ameipa Afrika ya Kusini siku 60 kuondoa vikwazo katika bidhaa za kilimo kutoka Marekani la sivyo ataiondolea msamaha wa kodi wa bidhaa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

9 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

9 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU ATOA ONYO KALI KWA WANAOKIKA SHERIA NA KUTOA MAELEKEZO KWA NEMC

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akiongea na wadau katika kikao cha kukuza uelewa wa Sheria na Utekelezaji wa Kanuni ya Katazo la Mifuko ya Plastiki kwa Wazalishaji, waingizaji, wasambazaji na wauzaji wa Mifuko mbadala ya Plastiki. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa LAPF, Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha (kushoto) Ni Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samwel Gwamaka, Bi. ...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira atoa onyo kali kwa kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd kwa kukiuka taratibu za usafi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (mwenye shati la drafti) akipiga picha maji yanayopita kwenye mto Kibandu kutoka kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd.Kulia ni Diwani wa Kata ya Kigogo Richard Chengula. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.  Binilith Mahenge (kulia) akipiga picha bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam,  Bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS JOHN MAGUFULI ABAINISHA KAYA HEWA 73,5621 ZILIVYOTAFUNA YA FEDHA ZA TASAF , ATOA ONYO KALI


*Ataja  Wilaya  zilizoongoza kwa kuwa na kaya hewa, pia zilizofanikiwa kudhibiti 
*Azindua awamu ya tatu ya TASAF, ataja watakaonufaika wamo wazee, walemavu
 Na Said Mwishehe,Michuzi Globu.
RAIS Dk.John Magufuli amesema pamoja na mafanikio makubwa ambayo yamepatikana nchini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) bado kumekuwepo na changamoto nyingi ikiwemo ya kubainika kwa fedha za mfuko huo ambazo zilikuwa zinalipa kaya hewa 73,5621 huku akitoa onyo kwa kali kwa watakaobainika kufuja...

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yatoa onyo kali kwa Ukraine

Urusi imeionya Ukraine kuancha maandalizi yoyote ya kijesh katika majimbo yanayotaka kujitenga

 

10 years ago

Vijimambo

LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...


LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmimpenzi wake mpya ambaye amedai ni msaniimkubwa wa nchini Nigeria.LinahAkizungumza na kipindi cha Planet Bongo chaEast Africa Radio, Linah alisema anampendampenzi wake huyo mpya na kwamba siku ikifika,ataamua kumweka wazi ili mashabikiwamtambue.“Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwasana, yaani huyo nampenda na hii sio project iporeal, mtamuona tu...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIAJI VIBAYA MITANDAO

MSEMAJI wa Jeshi la Polisi, Advera Senso akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Septemba 3,2014 kuhusu kupiga marufuku watu wanaotumia mitandao kinyume na taratibu.HABARI/PICHA NA PHILEMON SOLOMON
======== ======  ====== JESHI la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri.
Akizungumza Dar es Salaam, Septemba 3,2014  Msemaji wa Polisi,...

 

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani