Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urusi yatoa onyo kali kwa Ukraine

Urusi imeionya Ukraine kuancha maandalizi yoyote ya kijesh katika majimbo yanayotaka kujitenga

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yatoa onyo kali Kalenga

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limepiga marufuku wananchi kuhudhuria mikutano ya kampeni wakiwa na marungu na mapanga, hasa wakati huu wa kampeni za kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga....

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa onyo kali dhidi ya wananchi watakaovamia mgodi wa dhahabu wa Shanta Ikungi

DSC05033

Naibu Waziri wa Nishati na Madini na mbunge wa jimbo la Misungwi mkoa wa Mwanza, Mh. Charles Kitwanga,akizungumza na wachimbaji wadogo wa dhahabu wa vijiji vya Mang’onyi na Sambaru wilaya ya Ikungi. Kitwanga amewataka wachimbaji hao kujiunga kwenye vikundi ili waweze kupata misaada mbalimbali ikiwemo kukopesheka na taasisi za kifedha. DSC05010 Mkuu wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Gishuli Charles, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya Naibu Waziri wa Nishati na...

 

9 years ago

Vijimambo

NEC YATOA ONYO KALI DHIDI YA UKIUKWAJI WA MAADILI KIPINDI HIKI CHA KAMPENI


Kama mnavyofahamu Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani zimeanza tangu tarehe 22 Agosti, 2015 na zinaendelea hadi tarehe 24 Oktoba, 2015.
Ni jambo linaloeleweka kwamba mchakato wa Kampeni na wa Upigaji Kura unatawaliwa au kuongozwa na Sheria, Katiba na Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2015.
Katika kipindi hiki tangu Kampeni zianze, nafurahi kusema kwa niaba ya Tume kuwa kwa ujumla, Kampeni zimeenda vizuri. Karibu mikutano yote imefanyika katika hali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo la Marekani kwa Urusi

Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden ameonya Urusi kuwa ikiendelea kuchochea hali nchini Ukraine, itatengwa na jamii ya kimataifa

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

9 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

9 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Afrika Kusini

Rais wa Marekani Barack Obama ameipa Afrika ya Kusini siku 60 kuondoa vikwazo katika bidhaa za kilimo kutoka Marekani la sivyo ataiondolea msamaha wa kodi wa bidhaa.

 

9 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU ATOA ONYO KALI KWA WANAOKIKA SHERIA NA KUTOA MAELEKEZO KWA NEMC

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akiongea na wadau katika kikao cha kukuza uelewa wa Sheria na Utekelezaji wa Kanuni ya Katazo la Mifuko ya Plastiki kwa Wazalishaji, waingizaji, wasambazaji na wauzaji wa Mifuko mbadala ya Plastiki. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa LAPF, Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha (kushoto) Ni Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samwel Gwamaka, Bi. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani