Ukraine na Urusi zafanya mazungumzo
Marais wa Urusi na Ukraine wamekuwa na mazungumzo ya kwanza ya moja kwa moja kuhusu mgogoro wa Ukraine,
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Apr
Urusi kuingilia walioshikiliwa Ukraine
Ujumbe wa Urusi umesema watafanya kila njia kuhakikisha waangalizi wa kijeshi wa Umoja wa Ulaya walioshikiliwa Ukraine wanaachiliwa.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Urusi:hatutaki vita na Ukraine
Urusi imesema haina mpango wa kuingia vitani na Ukraine,hata hivyo inaunga mkono mpango wa upigaji kura ya maoni mjini Crimea
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
Urusi yawanasa raiya 25 wa Ukraine
Kitengo cha usalama wa ndani cha Urusi Kimewatia mbaroni raiya 25 kutoka Ukraine kwa uchochezi.
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Urusi yapingwa dhidi ya Ukraine
Viongozi wa kundi la G7 wamefungua mkutano wao wa mwaka nchini Ujerumani kusini,wakipinga vitendo vya Urusi kwa nchi ya Ukraine.
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
G7 yailaani Urusi kuihusu Ukraine
Kundi la mataifa ya G7 laitaka Urusi kushughulikia wasiwasi wake kuihusu Ukraine kwa njia ya mazungumzo au kupitia mpatanishi.
11 years ago
BBCSwahili11 Aug
EU yaonya Urusi isiingie Ukraine
EU imeonya Urusi isitume majeshi yake ndani ya Ukraine kwa kisingio cha kutoa misaada.
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Marekani yasusia mazungumzo na Urusi
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani,John Kerry hatakutana na Rais Vladmir Putin wa Urusi, mpaka atakaporidhia mapendekezo
10 years ago
BBCSwahili13 May
Marekani na Urusi wateta juu ya Ukraine
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry,amesema amekuwa na mazungumzo ya kirafiki kuhusiana na mzozo wa Ukraine
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Urusi ina Majeshi Ukraine:Marekani
Marekani imeilaumu Urusi kwa kuweka mfumo kujihami na mashambulizi ya anga Mashariki mwa Ukraine
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania