EU yaonya Urusi isiingie Ukraine
EU imeonya Urusi isitume majeshi yake ndani ya Ukraine kwa kisingio cha kutoa misaada.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 Feb
Marekani yaonya Urusi kutoivamia Ukraine
Marekani imeionya serikali ya Moscow isithubutu kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ukraine
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
UN yaonya kukosekana misaada Ukraine
Umoja wa mataifa umeonya juu ya hali mbaya ya kukosekana misaada ya kibinadamu huko mashariki ya Ukraine.
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Marekani yaonya Urusi kuhusu vikwazo
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameitaka Urusi kupunguza ukali wa matamshi yake la sivyo iwekewe vikwazo zaidi.
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Marekani yaonya kuhusu mashambulio ya Urusi
Muungano unaoongozwa na Marekani kukabiliana na wapiganaji wa IS umesema mashambulio ya Urusi nchini Syria yanadhuru wanaompinga Assad.
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Urusi yaonya dhidi ya kutumia jeshi
Kikao cha dharura cha umoja wa mataifa chajadili kudorora kwa usalama Ukraine
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Urusi yaonya kuhusu hatari ya vita Syria
Urusi imeonya kuwa kuna hatari ya kuzuka vita hatari Syria baada ya Marekani kusema itawatuma wanajeshi maalum kusaidia waasi Syria.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Urusi:hatutaki vita na Ukraine
Urusi imesema haina mpango wa kuingia vitani na Ukraine,hata hivyo inaunga mkono mpango wa upigaji kura ya maoni mjini Crimea
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Urusi yapingwa dhidi ya Ukraine
Viongozi wa kundi la G7 wamefungua mkutano wao wa mwaka nchini Ujerumani kusini,wakipinga vitendo vya Urusi kwa nchi ya Ukraine.
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
Urusi yawanasa raiya 25 wa Ukraine
Kitengo cha usalama wa ndani cha Urusi Kimewatia mbaroni raiya 25 kutoka Ukraine kwa uchochezi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania