Urusi yaonya kuhusu hatari ya vita Syria
Urusi imeonya kuwa kuna hatari ya kuzuka vita hatari Syria baada ya Marekani kusema itawatuma wanajeshi maalum kusaidia waasi Syria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Marekani yaonya kuhusu mashambulio ya Urusi
Muungano unaoongozwa na Marekani kukabiliana na wapiganaji wa IS umesema mashambulio ya Urusi nchini Syria yanadhuru wanaompinga Assad.
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Marekani yaonya Urusi kuhusu vikwazo
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameitaka Urusi kupunguza ukali wa matamshi yake la sivyo iwekewe vikwazo zaidi.
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Urusi na Marekani zaafikiana kuhusu ndege Syria
Urusi na Marekani zimetia saini makubaliano yanayotarajiwa kuzuia kushambuliana kwa ndege za kijeshi za nchi hizo nchini Syria.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki
Onyo hilo la rais Erdogan linajiri baada ya wanajeshi wa Uturuki kuuawa na vikosi vya Syria mjini Idlib
11 years ago
BBCSwahili11 Aug
EU yaonya Urusi isiingie Ukraine
EU imeonya Urusi isitume majeshi yake ndani ya Ukraine kwa kisingio cha kutoa misaada.
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Urusi yaonya dhidi ya kutumia jeshi
Kikao cha dharura cha umoja wa mataifa chajadili kudorora kwa usalama Ukraine
11 years ago
BBCSwahili27 Feb
Marekani yaonya Urusi kutoivamia Ukraine
Marekani imeionya serikali ya Moscow isithubutu kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ukraine
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Rubani wa Urusi aokolewa Syria
Urusi inasema kuwa msaidizi wa rubani wa ndege ya kijeshi iliyodunguliwa na Uturuki hapo jana ameokolewa na kurejeshwa katika kambi yao ya kijeshi iliyoo Syria.
9 years ago
BBCSwahili03 Oct
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania