Urusi yafanya mashambulizi zaidi Syria
Ndege za Urusi zimefanya mashambulio zaidi nchini Syria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Israel yafanya mashambulizi zaidi Gaza
Israel imefanya mashambulizi zaidi katika ukanda wa Gaza kufuatia shambulizi la makombora yaliyofanywa na kundi la Hamas Jumatatu.
9 years ago
BBCSwahili18 Aug
Mashambulizi yalaaniwa Syria
Umoja wa mataifa,walaani mashambulizi yanayoendelea dhidi ya Raia nchini Syria
10 years ago
BBCSwahili29 Nov
Syria:Mashambulizi yashindwa kukabili IS
Syria imesema kuwa mashambulizi ya miezi miwilli yanayoongozwa na Marekani yameshindwa kulidhoofisha kundi la Islamic State.
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Amnesty yalaumu mashambulizi Syria
Amnesty International inao ushahidi dhidi ya mashambulizi ya anga nchini Syria kuua maelfu ya raia, na uharibifu mkubwa wa mali.
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Rubani wa Urusi aokolewa Syria
Urusi inasema kuwa msaidizi wa rubani wa ndege ya kijeshi iliyodunguliwa na Uturuki hapo jana ameokolewa na kurejeshwa katika kambi yao ya kijeshi iliyoo Syria.
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Nato yasikitishwa Urusi kuisaidia Syria
Nato imesikitishwa kuhusu taarifa kuwa Urusi ina mpango kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Syria.wa kuhusu taarifa kuwa Urusi ina mpango kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Syria.
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Putin atetea mashambulio ya Urusi Syria
Vladimir Putin amesema lengo la mashambulio ya ndege za Urusi nchini Syria ni kusaidia utawala halali wa Rais Assad.
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Urusi yashambulia maadui wa Assad Syria
Urusi imeanza kufanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanaompinga rais wa Syria Bashar al-Assad
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Urusi yaonya kuhusu hatari ya vita Syria
Urusi imeonya kuwa kuna hatari ya kuzuka vita hatari Syria baada ya Marekani kusema itawatuma wanajeshi maalum kusaidia waasi Syria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania