Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Joh Makini aeleza msimamo wake kisiasa

Joh Makini amewataka wananchi na mashabiki kuwachukulia kawaida wasanii walioonesha itikadi zao za vyama vya siasa kwakuwa ni haki yao ya msingi kama watu wengine. Akizungumza na Planet Bongo leo, Joh Makini alisema yeye ameamua kukaa pembeni kama mwananchi wa kawaida. “Katika siasa mimi nasimama kama mwananchi wa kawaida,” alisema. “Unajua kila mtu ana haki […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Joh Makini aeleza alichokuwa amepanga kufanya kama AKA asingetokea wakati wa kushoot video ya ‘Don’t Bother’

Johmakini.1

Tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wasanii wakilazimika kushoot video bila wasanii waliowashirikisha kwenye nyimbo zao, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo wasanii walioshirikishwa kukosa muda wa kushiriki kwenye video, au kushindwa kuelewana au tu kuamua kuzingua.

Johmakini.1

Ili kukabiliana na changamoto kama hizo, rapper wa Weusi Joh Makini alijipanga kikamilifu wakati anaenda Afrika Kusini kushoot video ya collabo yake na AKA ‘Don’t Bother’.

Joh amesema kuwa aliandaa version mbili ya wimbo huo ili...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Mgeja kuzungumzia msimamo wake kisiasa

Mwenyekiti wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, Khamis Mgeja amesema bado hajaamua kuhama chama hicho au atabaki.

 

10 years ago

Bongo5

Joh Makini aizungumzia video ya ‘I See Me’ baada ya ubora wake kukosolewa

Joh Makini ameamua kuyajibu malalamiko ya baadhi ya mashabiki wake wanaodai kuwa video ya ‘I See Me’ imekuwa chini ya kiwango. Joh Makini ameiambia Enewz ya EATV kuwa ukubwa wa wimbo huo ulisababisha mashabiki kuwa na video yao kichwwani. “Kinacho wakosti watu wengi ni kwa sababu kila mtu amekuwa akitengeneza picha yake kichwani ya video […]

 

9 years ago

Bongo5

Unapenda kufahamu collabo ya Joh Makini na Davido imefikia wapi? Joh afunguka

joh davido

Kama unawasiwasi juu akiba ya collabo za kimataifa alizonazo John Simon Mseke a.k.a Joh Makini, ondoa hofu kwasababu ile collabo yake na nyota wa Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a DaVIDO imeshaingizwa kwenye computer ya studio ya The Industry.

joh davido

Davido anamkubali sana Joh Makini, na alithibitisha hilo September 18, 2015 alipovujisha taarifa ambayo muda wake ulikuwa bado, kuhusu yeye na rapper wa ‘Don’t Bother’, Joh Makini kufanya collabo.

Bongo5 ilipomtafuta Joh Makini wakati huo...

 

5 years ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Nikki wa II ft. Joh Makini & S2kizzy ‘hesabu’ Joh Mwalimu.. Wanafunzi ni Ebitoke, Ben Pol, Quick na wengine

Unakaribishwa kuitazama ngoma mpya ya Nikki wa Pili ambayo amewashirikisha Joh Makini na S2Kizzy inaitwa ‘hesabu’ ambapo humo ndani Joh Makini amecheza kama Mwalimu huku Wanafunzi darasani wakiwa ni Ebitoke, Ben Pol, Quick Rocka, Linah na wengine

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

Bongo5

New Music: Joh Makini Ft G Nako — Xo

Wimbo mpya kutoka kwa Joh Makini akimshirikisha G Nako wimbo unaitwa “XO” Producer Sappy

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Joh Makini Ft. Gnako — XO

Joh Makini kutoka Weusi ameachia video ya wimbo wake mpya ‘XO’ aliomshirikisha G-Nako. Video imeongozwa na Nisher. Itazame na utuambie maoni yako chini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani