Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURANGA WAKABIDHIWA VIFAA VYA KUPIMA NA KUTIBU MACHO

Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (kushoto)akimuonyehsa mashine ya kutengenezea miwani baada ya kumkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya kupimia macho vyenye thamani ya shilingi milioni 11.4 Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Mkuranga Mbenjamin Majoya kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za wilaya hiyo ambao watanufaika na huduma ya kupima na kutibiwa macho bure. Hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya Wilaya hiyo....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Brien Holden Vision yatoa msaada wa vifaa vya kupimia macho Wilaya ya Mkuranga na Kibaha

01

Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya  Brien Holden Vision Institute, Eden Mahayo akisisitiza jambo wakati  alipofika katika hospitali ya Wilaya ya Mkuranga  kukabidhi msaada wa vifa vya macho kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi 122 za  Mkuranga ambapo wanafunzi hao watapata huduma ya kupima na kutibiwa macho bure. Kulia ni  Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Francis Mwanisi,Kaimu Mkurugenzi wa Mkuranga  Benjamin Majoya na  Mratibu wa Taifa wa Huduma ya Macho Dkt.Nkundwe...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona

New York imetoa wito kwa serikali kutuma vifaa zaidi vya kupima virusi vya corona katika jimbo hilo huku visa vya maambukizi vikiongezeka.

 

10 years ago

Dewji Blog

Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege

Ebola - 4

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

 Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...

 

11 years ago

GPL

MAOFISA WA MALAYSIA WAKABIDHIWA VIFAA VYA KUTUNZA KUMBUKUMBU YA NDEGE ILIYOLIPULIWA

Mwanajeshi wa wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi akikabidhi mojawapo ya vifaa vya kutunza kumbukumbu (black boxes) vya ndege ya Malaysia MH17 iliyolipuliwa kwa maofisa wa Malaysia.
Vifaa viwili vya kutunza kumbukumbu (black boxes) vya ndege ya Malaysia vilivyokabidhiwa.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamziki Brian May amekosoa uhaba wa vifaa vya kupima corona

Mwanamuziki wa Uingereza Brian May amesema kushindwa kununua vifaa muhimu vya kujikinga na maradhi ya Covid-19 ni swala la kuvunja moyo

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: India yakataa vifaa vya kupima virusi hivyo kutoka China

India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''vina dosari''.

 

5 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI WA CHOO SHULE YA KIGUZA MKURANGA

 Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiguza iliyopo Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na wafanyakazi ikiwa ni msaada toka kwa wafanyakazi  Wanawake wnaofanya kazi Airtel. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.  Meneja wa Kitengo cha kuhudumia wateja wakubwa Airtel Tanzania, Alice Maziku, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiguza iliyopo Wilaya ya...

 

9 years ago

StarTV

   TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.

Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.

Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA   Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATOA VIFAA VIPYA VYA KUPIMA MWENDO KASI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii KIKOSI cha Usalama barabarani  kimetoa vifaa vipya  vya kisasa vya kupima mwendo wa magari.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari leo na Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Uslama Barabarani,Mohamed Mpinga,anadai vifaa  vinauwezo wa kurekodi mwendo wa gari na wakati huo huo kuchukua picha ya mnato au video ya gari husika. 
Aidha taarifa hiyo ilidai  kuwa ili  kuongeza ufanisi wa vifaa hivi wameelekeza askari wanaoshika vifaa hivyo wasivae sare...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani