KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATOA VIFAA VIPYA VYA KUPIMA MWENDO KASI
![](http://4.bp.blogspot.com/-uEGWOZPeWg8/Vdx3FFqGUhI/AAAAAAAHz6M/wCeTqR7Y96U/s72-c/images.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii KIKOSI cha Usalama barabarani kimetoa vifaa vipya vya kisasa vya kupima mwendo wa magari.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari leo na Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Uslama Barabarani,Mohamed Mpinga,anadai vifaa vinauwezo wa kurekodi mwendo wa gari na wakati huo huo kuchukua picha ya mnato au video ya gari husika.
Aidha taarifa hiyo ilidai kuwa ili kuongeza ufanisi wa vifaa hivi wameelekeza askari wanaoshika vifaa hivyo wasivae sare...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-R2pVnq6L-sY/VZLS_IQ1j_I/AAAAAAAHl60/R5d86NhRqlE/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAPEWA GARI LA MATANGAZO
![](http://2.bp.blogspot.com/-R2pVnq6L-sY/VZLS_IQ1j_I/AAAAAAAHl60/R5d86NhRqlE/s640/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rCwZPPl68YQ/UyAK1XQFWGI/AAAAAAAFTA4/SGEA_uZgjZQ/s72-c/unnamed.jpg)
Vodacom yamzawadia askari wa kikosi cha Usalama Barabarani kwa kazi nzuri
![](http://2.bp.blogspot.com/-rCwZPPl68YQ/UyAK1XQFWGI/AAAAAAAFTA4/SGEA_uZgjZQ/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
GPL16 Sep
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gXVQTvMNlMQ/VIKncNIsafI/AAAAAAAG1hE/bEXmt9xxmlg/s72-c/unnamed%2B(22).jpg)
JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA
![](http://4.bp.blogspot.com/-gXVQTvMNlMQ/VIKncNIsafI/AAAAAAAG1hE/bEXmt9xxmlg/s1600/unnamed%2B(22).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7oxPj1gJLkvXz9t*CHTVLSaOTOuuNcGeKMbQ-sVahshw*BhlDcW-umtXqE1QRZOjLz5KlUkElxcopalVJyTXeG*UQ8nWWNq/001.POLISI.jpg?width=650)
JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA
10 years ago
GPLKAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
MichuziKONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG’OMBE
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona