Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL TV ONLINE: USALAMA BARABARANI KUJA NA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…

 

9 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATOA VIFAA VIPYA VYA KUPIMA MWENDO KASI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii KIKOSI cha Usalama barabarani  kimetoa vifaa vipya  vya kisasa vya kupima mwendo wa magari.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari leo na Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Uslama Barabarani,Mohamed Mpinga,anadai vifaa  vinauwezo wa kurekodi mwendo wa gari na wakati huo huo kuchukua picha ya mnato au video ya gari husika. 
Aidha taarifa hiyo ilidai  kuwa ili  kuongeza ufanisi wa vifaa hivi wameelekeza askari wanaoshika vifaa hivyo wasivae sare...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU‏

Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.  Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki Samsung yalenga kukuza uchumi wa jiji la Arusha

Mike-and-Nawaz-Swahili

Kampuni ya Samsung inazindua rasmi  duka kubwa na kituo chake cha huduma kwa wateja lililopo barabara ya Sokoine mjini Arusha siku ya leo. Uzinduzi huo utawawezesha wateja wake wote mkoani Arusha kupata huduma stahiki na bidhaa halisi za Samsung. Kituo hiki ni cha kwanza kuzinduliwa mkoani Arusha na kampuni hii yenye idadi kubwa ya watumiaji na vifaa bora vya kielektroniki ulimwenguni.

“Mtazamo wa maisha ya wateja hubadilika kwa kasi kubwa na kuwafanya kuongeza mahitaji ya bidhaa na huduma...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung yazindua Samsung Galaxy Note 4 Tanzania

Image 1

Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa  Terrace, Slip way.

Baada ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya  Samsung  Tanzania imeongeza  rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note.  Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace , Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note  4 katika soko...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi yafurahia vifaa vya kulinda usalama

JESHI la polisi mkoani Mbeya limeipongeza serikali kwa kuliwezesha kupata vifaa vipya na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na aina yoyote ya uvunjifu wa amani siku ya uchaguzi mkuu unaofanyika kesho.

 

9 years ago

Mwananchi

Makosa ya barabarani sasa kulipwa kielektroniki

Jeshi la Polisi  kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max Malipo wamezindua kifaa kipya cha kielektoniki cha  kufanyia  malipo  kwa madereva wa magari waliovunja sheria za usalama barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani