Makosa ya barabarani sasa kulipwa kielektroniki
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max Malipo wamezindua kifaa kipya cha kielektoniki cha kufanyia malipo kwa madereva wa magari waliovunja sheria za usalama barabarani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Faini barabarani kulipwa kidijitali TZ
9 years ago
GPL16 Sep
10 years ago
Habarileo24 Sep
RC: Faini za makosa barabarani ziongezwe
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe ametaka sheria za usalama barabarani, ziangaliwe upya kwa lengo la kuongeza adhabu na faini kwa wanaosababisha ajali.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Makosa ya barabarani yakusanya mil. 144/-
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kupitia kikosi cha usalama barabarani limekusanya sh milioni 144.5 kuanzia Aprili 10 hadi 16 mwaka huu kutokana na makosa ya barabarani....
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Makosa ya barabarani yaingizia Polisi mil. 307/-
JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, mkoani Iringa limekusanya sh mil. 307 kutokana na makosa 10,243 ya usalama barabarani katika kipindi cha kuanzia Januari mosi mwaka huu hadi Machi...
10 years ago
Vijimambo09 Jun
KUPIGA PICHA WATENDA MAKOSA BARABARANI NI KUREKEBISHA TABIA
![Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha mawasiliano cha kikosi cha usalama barabarani](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/730328371_149891.jpg)
![Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha mawasiliano cha kikosi cha usalama barabarani](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/730111309_123262.jpg)
Na Augustus Fungo, Balozi wa Usalama Barabarani HIVI karibuni imejitokeza njia mpya ya kusaidia kupambana na wimbi la ajali za...
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
Kupiga Picha Watenda Makosa Barabarani na Kuwaanika ni Kurekebisha Tabia
Na Augustus Fungo
Hivi karibuni imejitokeza njia mpya ya kusaidia kupambana na wimbi la ajali za barabarani, ambapo pamoja na faini madereva wanaokiuka sheria za barabarani wamekuwa wakipigwa picha na baadaye picha hizo kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii au magazetini na hata wakati mwingine kwenye televisheni. Mathalani katika mtandao wa facebook, kundi la Mabalozi wa Usalama Barabarani maarufu RSA wakishirikiana na polisi hutumia mbinu hii kuwapiga picha wakiukaji wa sheria za barabarani...
10 years ago
Habarileo22 Jun
Mchakato ajira sasa kuwa kielektroniki
SERIKALI imesema ifikapo Juni Mosi mwaka huu itaanza kutumia rasmi mfumo wa kielektroniki katika mchakato wa kuajiri watumishi wa umma.
11 years ago
Habarileo26 Feb
Maombi ya ajira serikalini sasa kielektroniki
MAOMBI ya ajira serikalini na katika taasisi na mashirika ya umma, sasa yatafanyika kwa njia ya kielektroniki (e-recruitment), hali itakayosaidia kuondoa mlolongo mrefu uliokuwepo.