Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchakato ajira sasa kuwa kielektroniki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.SERIKALI imesema ifikapo Juni Mosi mwaka huu itaanza kutumia rasmi mfumo wa kielektroniki katika mchakato wa kuajiri watumishi wa umma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Maombi ya ajira serikalini sasa kielektroniki

MAOMBI ya ajira serikalini na katika taasisi na mashirika ya umma, sasa yatafanyika kwa njia ya kielektroniki (e-recruitment), hali itakayosaidia kuondoa mlolongo mrefu uliokuwepo.

 

9 years ago

Mwananchi

Makosa ya barabarani sasa kulipwa kielektroniki

Jeshi la Polisi  kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max Malipo wamezindua kifaa kipya cha kielektoniki cha  kufanyia  malipo  kwa madereva wa magari waliovunja sheria za usalama barabarani.

 

10 years ago

Habarileo

‘Hakuna mchakato ajira jeshi la Polisi Z’bar’

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame ametoa tahadhari kwa wananchi kwamba hakuna mchakato wa ajira katika Jeshi la Polisi kwa upande wa Zanzibar na kuwataka watu kujiepusha na utapeli huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajira za serikalini sasa kwa mtandao

Serikali imesema kuanzia Julai mosi mwaka huu, ajira za utumishi wa umma zitakuwa zikiombwa kwa njia ya mtandao, ili kuongeza ufanisi wa mchakato wa kuwapata watumishi wenye sifa na kupunguza malalamiko ya kupotea kwa barua za maombi.

 

11 years ago

GPL

MCHAKATO WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 SASA KUANZA MWEZI UJAO !‏


KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM. MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO  MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA  VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  … ...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili sheria ajira za wageni

KAMATI za Kudumu za Bunge zinazotarajiwa kukutana Dar es Salaam kwa siku 11 kuanzia Jumanne ijayo, zinatarajiwa pamoja na mambo mengine, kujadili na kuchambua miswadi 11 ya sheria, ikiwamo ya udhibiti wa ajira za wageni.

 

10 years ago

GPL

ANAYEDAIWA KUWA TAPELI WA AJIRA ANASWA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
YAHAYA unaishi wapi? Jamaa mmoja anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter amenaswa kwa kujipatia pesa kiudanganyifu akijifanya Ofisa wa Bodi ya Mikopo wa Chuo cha Ardhi kilichopo jijini Dar. Tapeli anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter. Tukio hilo lilitokea  Septemba 19 mwaka huu katika Kituo cha Afya cha Kimara baada ya tapeli huyo kumlaghai dada mmoja...

 

9 years ago

Michuzi

Je, umejaribu #RecruitMe unapotafuta ajira Tanzania? Fursa ndio hii sasa!


Ukosefu wa ajira ni changamoto kubwa duniani kote. Hili linasikitisha kwa kuwa kazi ni chanzo cha heshima binafsi, amani na utulivu. Tanzania, miongoni mwa nchi za dunia ya tatu, imechukua hatua muhimu katika kuendeleza sekta yake ya ajira, japo bado inakabiliwa na changamoto kubwa katika hilo. Asilimia kubwa ya watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi, aidha hawana ajira au ajira walizonazo haziendani na uwezo wao.
Kutokana na ushindani mkubwa katika soko la ajira na ongezeko kubwa la vijana...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom kutengeneza ajira zaidi ya 400 kupitia madukayake yaliyokwisha kufunguliwa hadi sasa

Kampuni ya mawasiliano nchini ya Vodacom imendelea na azma yake ya kuhakikisha inawafaidisha wateja wake kupitia huduma zake huku wakitengeneza nafasi za ajira kupitia maduka yake yanayoendelea kufunguliwa nchi nzima.   Hayo yameelezwa na Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja, Upendo Richard wakati akizindua duka jipya la Vodacom maeneo ya Sinza Afrika Sana ambalo linakuwa ni la 18 kwa wilaya ya Kinondoni pekee na la 79 Tanzania nzima.   “Dhamira kubwa ya kusambaza maduka haya ni kusogeza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani