Ajira za serikalini sasa kwa mtandao
Serikali imesema kuanzia Julai mosi mwaka huu, ajira za utumishi wa umma zitakuwa zikiombwa kwa njia ya mtandao, ili kuongeza ufanisi wa mchakato wa kuwapata watumishi wenye sifa na kupunguza malalamiko ya kupotea kwa barua za maombi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Feb
Maombi ya ajira serikalini sasa kielektroniki
MAOMBI ya ajira serikalini na katika taasisi na mashirika ya umma, sasa yatafanyika kwa njia ya kielektroniki (e-recruitment), hali itakayosaidia kuondoa mlolongo mrefu uliokuwepo.
5 years ago
MichuziSERIKALI MTANDAO IMEPUNGUZA GHARAMA ZA HUDUMA KWA WANANCHI NA MIANYA YA RUSHWA SERIKALINI-Dkt.MWANJELWA
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Fursa za ajira kwa mtandao kuwafi kia waombaji wengi
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
AJIRA ni kitu muhimu kwenye maisha ya binadamu kwa kuwa baadhi yao uwamini kwamba ndio chanzo cha kumudu gharama na mahitaji katika maisha.
Umuhimu huo ndio sababu ya kuwapo kwa baadhi ya wanafunzi walio kwenye viwango mbalimbali vya elimu nchini wanao amini ajira ndio itawafanya kufikia malengo yao endapo watasoma kwa bidii.
Hivyo baada ya kuhitimu elimu yao wanafunzi hao hutumia njia mbalimbali ili kutafuta kazi kwa kuwa wapo ambao kazi hiyo ufanywa na ndugu...
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Kuna ajira ngapi za upendeleo serikalini?
WIZARA ya Mambo ya Ndani, imetangaza kufuta ajira 228 baada ya kuthibitika kuwa zilitolewa kinyume na taratibu kwa upendeleo. Hatua hii ya wizara inafuatia malalamiko kutoka katika jamii, kupitia vyombo vya...
11 years ago
Habarileo23 Jan
Watanzania wa nje kupewa ajira serikalini
WATANZANIA waishio ughaibuni wameanza kushirikishwa kwa kupewa ajira serikalini, ikiwa ni njia kuwapa nafasi ya kuchangia maendeleo ya nchi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WJXvpFDkBME/XkkH7tiRzWI/AAAAAAALdjo/9cgHzV_NXnsKdc7PEAj3CiIISHF-UsskACLcBGAsYHQ/s72-c/c186d94c-5695-4c0b-a8f2-22b7bec590db.jpg)
VIJANA WATAKIWA KUONDOKANA NA KUTEGEMEA AJIRA ZA SERIKALINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-WJXvpFDkBME/XkkH7tiRzWI/AAAAAAALdjo/9cgHzV_NXnsKdc7PEAj3CiIISHF-UsskACLcBGAsYHQ/s640/c186d94c-5695-4c0b-a8f2-22b7bec590db.jpg)
Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana, Ajira, Sera na watu wenye ulemavu Mhe, Anthony Mavunde katika Kongamano la Umoja wa vijana CCM mkoa wa Kagera chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Happiness Runyogote katika ukumbi wa Linas uliopo manispaa ya Bukoba...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-xF0gMwVcEJI/VG4lHq_wCfI/AAAAAAAATk8/VI4Bp7QA_Ok/s72-c/02.jpg)
KINANA ATAKA UTARATIBU WA AJIRA SERIKALINI UANGALIWE UPYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-xF0gMwVcEJI/VG4lHq_wCfI/AAAAAAAATk8/VI4Bp7QA_Ok/s1600/02.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kuna haja ya kubadilisha taratibu za ajira badala ya kuwa za kudumu ziwe za mikataba kwani itasaidia kufanya kazi kwa ufanisi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-vIg0556k23I/VG4hJ-qOK-I/AAAAAAAATkg/K2ZmV2oL6UQ/s1600/4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-lI4kFs-x02c/VG4fYeGu_NI/AAAAAAAATj4/cxvMZIWi5KA/s1600/05.jpg)
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Leseni za madini sasa kulipiwa kwa mtandao
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Taaluma vyuo vikuu sasa kwa mtandao
NA WILLIAM SHECHAMBO
HATIMAYE serikali imezindua mradi wa ujenzi wa mtandao wa Internet kwa vyuo vya elimu ya juu na taasisi za utafiti nchini, ambao utaziunganisha na kuziwezesha kushirikiana katika masuala ya kitaaluma.
Mradi huo uliofadhiliwa na Benki ya Dunia, mara utakapokamilika, unatarajiwa kuziunganisha taasisi 28 huku zingine zikipewa fursa ya kujiunga na mradi huo kwa kadri inavyowezekana.
Serikali ya awamu ya nne imekuwa ikiweka mkazo mkubwa katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na...