KINANA ATAKA UTARATIBU WA AJIRA SERIKALINI UANGALIWE UPYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-xF0gMwVcEJI/VG4lHq_wCfI/AAAAAAAATk8/VI4Bp7QA_Ok/s72-c/02.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kuna haja ya kubadilisha taratibu za ajira badala ya kuwa za kudumu ziwe za mikataba kwani itasaidia kufanya kazi kwa ufanisi. Wananchi wa Liwale wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa Liwale mkoani Lindi ambapo aliwaambia kuwa wapinzani kwenye...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Mfumo serikalini utazamwe upya
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Ipo haja ya kuangalia upya utaratibu wa safari za Hija
11 years ago
Habarileo23 Jan
Watanzania wa nje kupewa ajira serikalini
WATANZANIA waishio ughaibuni wameanza kushirikishwa kwa kupewa ajira serikalini, ikiwa ni njia kuwapa nafasi ya kuchangia maendeleo ya nchi.
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Ajira za serikalini sasa kwa mtandao
11 years ago
Habarileo26 Feb
Maombi ya ajira serikalini sasa kielektroniki
MAOMBI ya ajira serikalini na katika taasisi na mashirika ya umma, sasa yatafanyika kwa njia ya kielektroniki (e-recruitment), hali itakayosaidia kuondoa mlolongo mrefu uliokuwepo.
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Kuna ajira ngapi za upendeleo serikalini?
WIZARA ya Mambo ya Ndani, imetangaza kufuta ajira 228 baada ya kuthibitika kuwa zilitolewa kinyume na taratibu kwa upendeleo. Hatua hii ya wizara inafuatia malalamiko kutoka katika jamii, kupitia vyombo vya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WJXvpFDkBME/XkkH7tiRzWI/AAAAAAALdjo/9cgHzV_NXnsKdc7PEAj3CiIISHF-UsskACLcBGAsYHQ/s72-c/c186d94c-5695-4c0b-a8f2-22b7bec590db.jpg)
VIJANA WATAKIWA KUONDOKANA NA KUTEGEMEA AJIRA ZA SERIKALINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-WJXvpFDkBME/XkkH7tiRzWI/AAAAAAALdjo/9cgHzV_NXnsKdc7PEAj3CiIISHF-UsskACLcBGAsYHQ/s640/c186d94c-5695-4c0b-a8f2-22b7bec590db.jpg)
Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana, Ajira, Sera na watu wenye ulemavu Mhe, Anthony Mavunde katika Kongamano la Umoja wa vijana CCM mkoa wa Kagera chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Happiness Runyogote katika ukumbi wa Linas uliopo manispaa ya Bukoba...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uErcoZ1KdnJKj6GYQvxxOszZzXbZARbmjXLHH3*Zg-BF3tE6xMt8MM3VOD-Hp03NmsUgpeyqJeJ-jcg5M4ALyMbpBeGW5PII/images.jpg)
AJIRA: UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI WAHITIMU KIDATO CHA SITA 2014
10 years ago
GPLWAKALA WA HUDUMA ZA AJIRA ATANGAZA UTARATIBU WA KUZINGATIA KUUNGANISHWA NA FURSA NJE YA NCHI