Ipo haja ya kuangalia upya utaratibu wa safari za Hija
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa juzi na Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata), idadi ya Watanzania waliofariki kwa ajali ya kukanyagana wakati wa ibada ya Hija katika mji Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia imeongezeka kutoka wanne hadi wanane.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo06 Oct
‘Iko haja kuangalia utaratibu wa Hija’
WAKATI Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya mahujaji wanane na wengine waliojeruhiwa huko nchini Saudia Arabia, Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakari Zuberi ameiomba serikali kuangalia utaratibu wa kuzungumza na Saudia ili kuweka utaratibu mzuri wa ibada ya Hijja utakaosaidia kuepukana na madhara yaliyojitokeza mwaka huu kutokana na kufungwa kwa njia moja.
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Safari ya hija na utitiri wa waovu, je ndio ukuaji wa demokrasia?
KUMEKUWA na wingi wa 'kutisha' wa wanaotaka kupewa IKULU yetu, ofisi ambayo Baba wa Taifa alisema
Yahya Msangi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouurpNlx5kKakqHONPHv6vY0PtbR8HGqgvdF1FqAzoRappzhLXHzcKdkCUEEud1e4B8zuWxw9GwCkI-rnOKnu2Bm0/HamisiKigwangalla.jpg?width=650)
IPO HAJA KWA WAGOMBEA URAIS KUJITANGAZA SASA
9 years ago
StarTV07 Jan
 Serikali kuangalia upya bei ya Sukari nchini
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amesema Serikali imejipanga kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa kati ya bei ya sukari inayotokana na viwanda vya ndani na inayoagizwa nje ya nchi.
Waziri Mwijage amesema hilo linaweza kufanikiwa kwa kupunguza baadhi ya gharama za uzalishaji zisizo na tija kwa viwanda vya ndani.
Kiwanda cha sukari cha Kagera kilichopo katika wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera, moja ya kiwanda kinachotegemewa mno katika uzalishaji wa sukari hapa...
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Kutolewa Mali, CAF kuangalia upya kanuni
9 years ago
StarTV17 Nov
 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi
Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.
Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.
Wadau hao akiwemo Mkurugenzi wa taasisi ya kielimu ya THE...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-xF0gMwVcEJI/VG4lHq_wCfI/AAAAAAAATk8/VI4Bp7QA_Ok/s72-c/02.jpg)
KINANA ATAKA UTARATIBU WA AJIRA SERIKALINI UANGALIWE UPYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-xF0gMwVcEJI/VG4lHq_wCfI/AAAAAAAATk8/VI4Bp7QA_Ok/s1600/02.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kuna haja ya kubadilisha taratibu za ajira badala ya kuwa za kudumu ziwe za mikataba kwani itasaidia kufanya kazi kwa ufanisi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-vIg0556k23I/VG4hJ-qOK-I/AAAAAAAATkg/K2ZmV2oL6UQ/s1600/4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-lI4kFs-x02c/VG4fYeGu_NI/AAAAAAAATj4/cxvMZIWi5KA/s1600/05.jpg)
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.
Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.
Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya corona: Je ipo haja ya kutumia vidonge vya vitamin D?