Serikali kuangalia upya bei ya Sukari nchini
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amesema Serikali imejipanga kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa kati ya bei ya sukari inayotokana na viwanda vya ndani na inayoagizwa nje ya nchi.
Waziri Mwijage amesema hilo linaweza kufanikiwa kwa kupunguza baadhi ya gharama za uzalishaji zisizo na tija kwa viwanda vya ndani.
Kiwanda cha sukari cha Kagera kilichopo katika wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera, moja ya kiwanda kinachotegemewa mno katika uzalishaji wa sukari hapa...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBEI YA SUKARI YATANGAZWA, SERIKALI YAONYA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI KIHOLELA
Charles James, Michuzi TVSERIKALI...
9 years ago
StarTV17 Nov
 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi
Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.
Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.
Wadau hao akiwemo Mkurugenzi wa taasisi ya kielimu ya THE...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Serikali yajadili bei ya sukari
SERIKALI iko katika mazungumzo na viwanda vyote vinavyozalisha sukari kuangalia namna ya kuviondolea baadhi ya gharama za uzalishaji ili bidhaa hiyo ishuke bei.
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.
Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.
Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB19 Mar
VIDEO: Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.
Mbunge wa Kigoma Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.
5 years ago
MichuziWAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU UHABA WA SUKARI NCHINI,AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUZINGATIA BEI ELEKEZI
Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kuwahasa wauzaji kuzingazia bei elekezi.
Mhe.Bashungwa ameyasema hayo jana Mei 14, 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari tani 20,000 ikishushwa na meli kutoka Nchini Uganda iliyoagizwa na kiwanda cha kagera sugar kwa ni...
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Kutolewa Mali, CAF kuangalia upya kanuni
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Ipo haja ya kuangalia upya utaratibu wa safari za Hija
10 years ago
MichuziSerikali yatakiwa kusitisha uporomokaji wa bei za Filamu Nchini - Wadau
Na Genofeva Matemu – Maelezo
Serikali imewapongeza wasambazaji na wadau wa filamu nchini kwa mchango wao mkubwa katika kuelimisha,...